Ila mashabiki wa simba ni wasiri sana yaani mtu anabinua kalio halafu wala hawatuambii😎😎😎. Basi mwenye hiyo picha aiweke hapa haraka iwezekanavyo tuione na sisi
Kwahyo mechi ya Tp mazembe imemchanganya muhindi mpaka kushindwa kupangilia odds, image mechi saa kumi lakini mpaka sasa haluna kitu. Au anaogopa kupigwa kitu kizito?
Huo ndo tunaita uswahili na ujuaji, sidhani kama mama yake anaelimu ya kutosha kuhusu mikataba,ingekuwa kwa wenzetu huyo feisal na mama yake wangeshakula faini ya kuikashfu taasisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.