Search results

  1. Oman - Muscat.

    Mwanamke KAMILI....!!

    Mimi naamini ni mwanamke kamili japo sijatimiza nusu ya hayo yote !
  2. Oman - Muscat.

    Waraka wa pongezi kwa Miss Judith

    Congratulations to couple !
  3. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Asante sana Kaka, hili nalifanyia kazi jioni hii. Ubarikiwe kakangu!
  4. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Thanks kwa kunikumbusha! Si mume, ni mchumba!
  5. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Hahahaha! Thanks a lot, you made me smile.
  6. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Kwanza hapakua na limit za kuonana ila baadae tukaamua tuonane Mara 1 kwa wiki mana tunaishi umbali wa kilometres 80. Nina wiki 2 sijamuona, nikapata matatizo ya kifamilia nilimuhitaji sana ndio sabab nilingangania kua nae.
  7. Oman - Muscat.

    Help!

    Omba indirect wakati wa maongezi.
  8. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Thanks a lot, nitalifanyia kazi nimeona hata mimi napata tabu kuona Emails zake pictures , pia kwenye BB.
  9. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Samahani kwa sikutambua gender yangu haiko, mimi ni mwanamke wa miaka 25 nimegombana nae akapata hasira kutaka tuachane, nimemuomba tumalize ugomvi kwa njia nyingine alikataa. Mimi ndio mkosaji kwakua nilingangania tuonane ile siku
  10. Oman - Muscat.

    Naomba mawazo yako!

    Za asubuhi ndugu zangu! Naombeni mnishauri nini cha kufanya kupunguza maumivu ya kuachana na mpenzi wako wa muda mrefu. Nimeachana na shemeji yenu jana na hali yangu ki roho si nzuri kabisa hata moyo wangu umekua unauma sana kiasi nahisi nakosa nguvu. Thanks in advence.
  11. Oman - Muscat.

    Ujinga Ni........

    Imetulia hiyo!
  12. Oman - Muscat.

    I would give him 100%

    hahahaha ! awesome .....
  13. Oman - Muscat.

    Sema chochote kuhusu wachaga

    Japo nimekulia sukuma, Shinyanga! mchaga namkubali kwa swala la kazi na ukarim.........
  14. Oman - Muscat.

    fiksi

    hahahahahah! you made my day asante.......
  15. Oman - Muscat.

    Marrying siblings...

    I was thinking exactly like her when I was at the age of 5.
  16. Oman - Muscat.

    Naombeni msaada jamani

    Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kumuoa mwanamke mkristo kwa sharti atambadili dini pia watoto wafate dini ya baba. hairuhusiwi kwa binti wa kiislam kuolewa na dini yoyote ile except muislam , other wise binti atoke uislam na kufata dini ya mumewe! ushauri wangu, dini si kikwazo...
  17. Oman - Muscat.

    Wivu Umemuua!!

    So SAD RIP Flora
Back
Top Bottom