Search results

  1. N

    Police Newala ina makundi na kundi moja ndilo limeteketea 12/01/2014 katika pambano na Jambazi

    Tony Gwanco;ndio chadema walivyo Na imebainika kilichowaua askari hawa ni tamaa yao kwenda kuchukua hio pesa tamaa ambayo iliwafanya kwenda bila tahadhari na kukutana na risasi moja baada mwingine
  2. N

    Chitanda ajiunga na CCM

    Tena wa kumuona kwa darubini/asante @ Lua
  3. N

    Chitanda ajiunga na CCM

    Mpinzani wa kweli akitoka kwenye chama chake ataenda kwenye chama kingine cha upinzani.Swali kwa Chitanda,je yale mabovu ya chama tawala uliokuwa ukiyanyoshea kidole yamerekibishwa?Chitanda njaa itakuaibisha ndg yetu.wewe si mpinzani wa kweli.
  4. N

    Familia ya Nangwanda Sijaona kuiburuza Serikali ya Newala Mahakamani wa upotevu wa Generator lao

    Ushaidi unaonyesha kuwa ni kweli jenerator hio ambayo ni kubwa iliazimwa kuhudumia pale ambapo mwenge ulilala mwaka 1988.Ni aibu na fedhea kubwa kwa serekali kukwepa kulipa kifaa hicho.Familia hio ya Nangwanda kwa ujumla imekosa imani na serekali
  5. N

    CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

    Uongozi wa Kitaifa ulipofika Newala 1/06/2013 walihutubia kata zote ndani ya Newala lakini hawakuwahi kukutana na Akbar na wala yeye hakuwepo hapa Newala pia Akbar si Mwanachama wa Chadema kwa maana Chama hapa Newala bado hajafika na kupokelewa.
  6. N

    Katibu Mkuu (Sophia Kaduma) Arubuniwa Na Mh. George Mkuchika Dhidi ya TANECU Ltd

    na NDF kwa ajili ya maendeleo ya Wilaya,yeye akazitumia kwenye kampeni kuhonga kuhonga shs 2000/-10000/.Dhamana ya mkopo huo ni jengo la Sekondari Tandahimba na gari 2 za NDF.Deni limeshazaa riba na majaribio yake kuwakata wakulima limeshindwa.
  7. N

    Katibu Mkuu (Sophia Kaduma) Arubuniwa Na Mh. George Mkuchika Dhidi ya TANECU Ltd

    Bwana huyu ana lengo la kukiweka hicho kipande kitachokwenda Newala mikononi mwake.Ameshajaribu sana kulazimisha wakulima kukatwa 20/ kwa kika kilo bila ya kuwashirikisha wakulima.Taarifa ambazo zimeenea ni kwamba anahaha kupata pesa zilizokopwa 2010
  8. N

    Yaliyojiri: Kesi ya rufaa ya kupinga ubunge wa Mh. Lissu - 13 Sept, 2013

    Hio hela watakayolipa ingeweza kuchangia kulipa madai ya walimu.
  9. N

    Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

    Wala si Mkatoliki na pia Familia yake ni WaAnglikana.Yeye kwa mujibu wa taarifa za uhakika nilizonazo ni Mtu wa Meditation katika Nuru na Sauti na ni strict vegetarian hali nyama ya aina yoyote wala mayai,
  10. N

    Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

    Umempa jibu zuri kabisa 100%. Kwanza huku Kusini kuna malalamiko ya watumishi wa Serekali kukatwa shs 1000/ bila hiari yao.
  11. N

    Kuua Mabadiliko Tandahimba: Mkuchika Ashinikiza Ushirika wa Korosho (TANECU) Uvunjwe

    Tetesi ni kwamba ana lengo lingine la kuigawa Newala na kuwa majimbo mawili na baada ya hapo agombee 2015 wakati tayari amekwisha ikamata TANECU na kuwa yake.
  12. N

    Mikutano CCM (UWT) Newala na kata zake yadoda!

    Pale Mnyambe mbali ya kuisema Chadema hoja kuu ilikuwa ni Adam Sijaona aka Sijali ambae alivua gamba rasmi 1/06/2012 na kukabidhiwa kadi ya Chadema na Dr.Slaa. aliitwa kibaraka,msaliti na pale ilibainika kwamba Ccm ndio wakabila na wa-kanda.
  13. N

    CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

    Pamoja kuwa ni kweli kuna msuguano mkali lakini hilo la Akbar si la kweli. Kwani wenye kuamua ni hao unaowataja hapa?
  14. N

    CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

    Habari zimetoka wapi? Si kweli kwamba Chadema Newala watamsimamisha Akbar.Naomba ieleweke kwamba Chadema makao makuu hufanya kazi zao kwa umakini na si kweli Newala kuna Akbar pekee,vile vile wakati ufikapo Mgombea atajulikana lakini si Akbar.
  15. N

    Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Kutapa tapa kwa Ccm, Serekali yake na Marobot yao..
  16. N

    Nyimbo za Msanii Kundambanda zinasikilizwa?

    Usihofu utazisikia muda si mrefu.
Back
Top Bottom