Search results

  1. P

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni kiboko kuliko hata udsm

    mimi nadhani suala la wanafunzi kudisco au kusupp kwa wingi kama ndio kigezo cha elimu bora ktk vyuo vyetu ni udhalilishaji mkubwa na uchakachuaji wa elimu na ukishakubali kuchakachua elimu basi tena tusitegemee lolote tena, ndio litazaliwa taifa la mbumbumbu na mafisadi, nothing more...
  2. P

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni kiboko kuliko hata udsm

    come on, how can you say that? mwanafunzi ni kilaza? literaly unachosema ni kwamba walimu wa IFM ni vilaza kwenye research kama mwanafunzi, tena 90% hawajui research that means huyo mwalimu inabidi aligwe chini point blank
  3. P

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni kiboko kuliko hata udsm

    ndugu ugasa elimu haiko ngumu kihivyo kiasi cha aslimia karibu 90 washindwe masomo. Kwa kifupi haiwezekani. Kwa uhalisia wake itabidi hatua za kinidhamu pamoja na audit ya program nIma ifanyike. that is wastage of time and money kwa watu. kama wanafunzi hawawezi kufauli then the program is...
  4. P

    Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

    Aaarrrrrrgggggggggggh!
  5. P

    Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

    Duh kuna upotoshaji mkubwa wa taarifa hapa.....I hate this
  6. P

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    crappppppppppppppp......................! masaburi @ work mwenye kujua thamani yako ni wewe mwenyewe ndugu, kama wewe umeridhika na unachokipata sawa endelea kufanya kazi kwa moyo mkunjufu. Kama wote tuko sawa na hakuna wa kustahili kupata kubwa kuliko mwenzako which by itself is a fair...
  7. P

    UPDATES Mgomo wa Madaktari: - INTERNS WOTE WARUDISHWA MUHIMBILI BILA MASHARTI

    Katika kuhaha kwa serkali kujaribu kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari leo serikali imekwenda kuonana na madaktari wakiwa katika vikao vyao visivyo na kikomo (extended meetings) pale starlight hotel. Delegation ilikuwa na wajumbe wafuatao: Waziri wa Utumishi - Hawa Ghasia, Waziri wa Afya -...
  8. P

    Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

    Mungu amjalie kupona haraka na apate nguvu za kuendelea kuwatumikia watu wake na taifa letu kwa ujumla. pole sana ndugue yetu kuugua ni jambo la kawaida sana kwa mwanadamu
  9. P

    Lowassa vs Sitta

    Heeh! Hivi kumbe eh? Aisee mimi mbado kujua............sasa ikawaje? by the way waarusha/wamasai/wameru lao ni moja tu?
  10. P

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    Ndugu much as I respect maoni na mtazamo wako lakini sidhani kama vi vema uka-generalize kana kwamba kila mtu anaona na kufikiri unachokifikiri. What I mean is epuka kuweka pleuralism kwenye statement zako. Wewe semea moyo wako na si ya wengine Binafsi nampa big up gondwe, anajitahidi sana...
Back
Top Bottom