Search results

  1. M

    Balozi Seif Iddi: Umwinyi au Uswahili?

    bas jamaa kwenye blogs wameripoti kuwa ni ofisini kwake nikashangaa
  2. M

    Balozi Seif Iddi: Umwinyi au Uswahili?

    Huyu jamaa hivi shughuli zake hasa ni nini? tazama ufisini kwake. Makubazi na staff wanakaa chini utafkiri wako madrassa au ndio kalcha za ofisi huko Unguja?
  3. M

    Kigamboni Bridge Contract Signed

    Huyu kaunda suto tumeambiwa ndiye mbunge mtarajiwa je kuna ukweli kwenye hili?
  4. M

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Unajua naanza kuhisi kama hii habari ya kugombea ina credibility fulani. Sasa kuna kipindi ilidaiwa jamaa ni jasusi la marekani ndani ya serikali Lakini Je wamarekani wanahitaji kuwa na jasusi ndani ya serikali? wao wanafaidika na nini ?
  5. M

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Hilo la uhakika watu washajumuisha mahesabu na kwa haiba yake ya kupenda kujsifu watu wameweza kuunganisha moja na moja na washamjua huyu Pia kuana suala zito zaidi la credibility ya huyu jamaa kutapeli wanafunzi toka jimboni kwake na hili linatisha zaidi Tatu ukisoma diplomatic cables tafuta...
  6. M

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Ukitaka kujua kama huyu Jerry hafai nenda Kariakoo utazamae drainage, foleni na jinsi maduka yalivyokuwa hayana mpangilio
  7. M

    Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    Omari kimbau mbona kimya mno au hana interest?
  8. M

    Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Sasa kujifanya ana mipango kabambe kumbe naye ni timu moja na masaburi na iddi simba kwenye sakata la UDA? ama kweli JF mnajua kuibua ishu
  9. M

    Mbaraka Dau vs Omari Kimbau na A Shah kisiwani Mafia

    Mbona habari imekaa nusu nusu? Lakini yeyote anayeweza kuwakomboa watu wa Mafia toka kwenye magamba sisi poa tuu
Back
Top Bottom