Search results

  1. Msudu

    Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Poleni sana watu wa Kibaha, Ila kuna balaa nimeliona jana katika barabara za jimbo la ukonga jijini Dsm, mfano kutoka kituo cha pale Mombasa kwenda bomba mbili mpaka kwa mhaya ile zaidi ya Adhabu.
  2. Msudu

    Ni kweli kuonja chakula kwenye mwiko na kulia kwenye sufuria kunafanya mtu achelewe kuoa au asioe kabisa?

    Nadhani zilikuwa mbingu za malezi hasa katika kumuandaa mtoto wa kiume kuwa mwanaume imara. Kijijini kwetu kulikuwa na usemi kuwa ukipigwa na mwiko hutakuja kuowa. Nakumbuka bibi aliwahi kunitandika mwiko mpaka ukapasuka. Lakini nina mke na watoto na watoto kwa sasa ha ha
  3. Msudu

    Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Hata hilo ulilochagua ni la babu wa mtu flan mahali flani tena mwenye mambo mengi kuliko hata huyu babu yako.
  4. Msudu

    Makonda nilikuonya ulipokuwa Mwenezi hukusikia, sasa huko Arusha sikuonyi tena ila utakuja kunikumbuka

    Tatizo hata huko Ubalozi anaweza Kufika na kumpa waziri wa Nchi husika wiki Moja awe ametatua matatizo yote.
  5. Msudu

    Video za ngono na wasanii ni ndugu?

    Mambo yanaweza kuwa mengi Ila makuu kwa mtazamo wangu ni matatu. 1. Ulimbukeni na kutokujitambua. 2. Kutafuta kiki kwa ajili ya kazi zao na kupata wafuasi wengi katika akaunt zao maana wabongo tunapenda ujinga. 3. Sehemu ya kafara za kiibada.
  6. Msudu

    Wakazi wa Rufiji waliokumbwa na Mafuriko wahamishiwe Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mkuu katika wilaya zote kwann Rombo? 😅
  7. Msudu

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Ni muhimu kuheshimu alama ya Taifa lako. Kuna siku utakuja kuvunjwa miguu ndo tutajua utashtakiwa kwa kosa gani. Nenda kambi ya Jeshi alafu ipigwe filimbi ya kushusha/kupandisha Bendera ya Taifa alafu wewe Endelea na mishe zako.
  8. Msudu

    Hii daladala inalazimisha wanafunzi wawe na Tsh. 200 kamili, zaidi ya hiyo hawarudishiwi chenji

    Hii Nchi saivi tunaishi Kambale kila mmoja Ana ndevu, ukienda mwendo kasi kama hauna hela kamili unaambiwa katafute chenji, mwanafunzi nae anatakiwa kuwa na mia mbili kamili. Tutafika tukiwa tumechoka sana
  9. Msudu

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Ha ha ha watu wa Arusha achen vitisho kule yule Dogo Dangote alikuwa anawalaza saa 12 jion ha ha ha
  10. Msudu

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Uhuru wa kuabudu, kila mtu aishi kulingana na imani yake kikubwa asivunje sheria za Nchi. Kula au kutokula ni swala binafsi kulingana na mapokeo na imani ya mtu. Kufunga ni ibada, Simama katika ibada yako bila kuangalia mwingine na ibada yake
  11. Msudu

    Uliwahi kukuta eneo linanuka sana na wakazi wa hapo wapo busy na mishe zao bila shida

    Hapa ni hatari Mkuu, ila watu wanakula na kunywa bila shida.
  12. Msudu

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    Heshima kwako, Ushauri mzuri sana. Ila huu mradi ni kama Tanesko tu majanga matupu, labda tuwaite DP ha ha ha
  13. Msudu

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Ha ha ha ha maisha haya
  14. Msudu

    Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Nilikuwa na ndoto ya kuwa Mwanajeshi(Jwtz) lakini sijui nn kilitokea saivi nachunga kondoo wa Bwana.
  15. Msudu

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Heshima kwa Wanawake wote. Ugumu wa maisha/Ajira usiwe sababu Ya nyie kuuza utu wenu. Mungu awabariki wanawake wote.
  16. Msudu

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Hakika mapambano naendelea nayo huku nikijitahidi kuishi
Back
Top Bottom