Search results

  1. K

    Fastjet Arusha: Kauli za wakata tiketi

    wewe unaonekana ni mdau wa PRECISION. Tumenyonywa na kunyanyaswa kiasi cha kutosha. National carrier-ATC inakufa kwa sababu ya ya Prec. Kila ikitaka kufufuliwa inakndamizwa sasa ni wakati wenu wammepata mshindani wa kweli. FAST JET BIG UP. matatizo hayo ni ya kawaida cha msingi mapungufu haya...
  2. K

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Mimi niko katika utumishi wa umma swala hili nimeliona sana. Na maoni yangu ni kama ifuatavyo:- Kama katika kikao cha Mgt kwa ajili ya kuajiri watumishi wapya, kufanya uhamisho au kuchagua watakopata ufadhili wa masomo asilimia 75 ni wachagga, secrtariat ya kufanya kazi hiyo asilimia 75 ni...
  3. K

    Naomba ushauri

    hapo sasa umnichanganya.
  4. K

    Naomba ushauri

    Huo mseto wa dawa ulizo shauri nimetumia sana na sikupata ahueni, ila ushauri wa kula kidogokidogo ni mzuri pamoja na kufanya mazoezi, nitauzingatia. Asante
  5. K

    Naomba ushauri

    aSANTE SANA NDUGU YANGU, KWA SASA NIPO HAPA DSM. NAOMBA UNIELEKEZE HUO MWANZA NITAFIKA TU
  6. K

    Nauli za kivuko kigamboni zapanda

    watanzania wenzangu hasa wale tuanoishi kigamboni ni wakati mwingine tena wa kupata machungu ya ugumu wa maisha kwa mwaka mpya wa 2012 ambao kunako majaaliwa tutaka nao hapo kesho. Nauli za kivuko zimepanda sisi wengi wetu wenye vigari vya aina ya Sloon tutakamuliwa ka shilling 1,500 abiria wa...
  7. K

    Naomba ushauri

    Ndugu zangu wanafamilia wa JF nayotoa yangu matatizo kwenu ni hivi. Kwa kipindi cha karibu miaka kumi sasa nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya ya tumbo, mwanzo nilikuwa sijui ni tatizo gani kwani lilikuwa linauma na kujaa gesi, wakati mwingine naumwa mwili mzinma nakuw na dalili zote kama mtu...
Back
Top Bottom