Search results

  1. Ileje

    KERO Mwekezaji achimba mchanga karibu na makazi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara - Kitopeni Bagamoyo Pwani

    Nchi huwa inashabikia vitu vya hovyo sana bila kuzingatia madhara kwa wananchi wake! Ingefanyika tathimini ya athari za mazingira na mwekezaji akashauriwa kutafuta njia mbadala au kuimarisha njia iliyopo kabla ya kuanza mradi kusingekuwa na kelele hizi!
  2. Ileje

    Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    Utasubiri sana mpaka utembelee mkokojo lakini bei haitashuka! Umeleta mkosi wa milele!
  3. Ileje

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Uwanja vipi umekauka au bado mvua zinanyesha?
  4. Ileje

    Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    Na wewe ndiye wa kulaumiwa kwa kusambaza uongo na kupiga propaganda kuwa bei ya umeme itashuka! Ulaaniwe mpaka kaburini kwako!
  5. Ileje

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Changamoto ya vyama vya wafanyakazi ni viongozi wao kuwa machawa wa CCM na hivyo kutokuwa na nguvu za kusukuma ajenda za wafanyakazi! Kwa ilivyo sasa vyama vyote ni matawi ya CCM na vipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya viongozi wa serikali! Kwa kifupi vyama vyote vya wafanyakazi havistahili...
  6. Ileje

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Naona swali lako bado halijapata majibu, je unaweza kutoa ufafanuzi kabla ya kupata majibu?
  7. Ileje

    Wana Yanga SC si vibaya sana kama mkituchagulia Sisi wana Simba SC namna ya Kujipoza na Kipigo chenu Kwetu cha jana

    Namna bora ya kupoza maumivu ni kukiri udhaifu wa timu yenu na kuwapongeza Yanga kwa kuwa na mikakati bora ya kujenga timu yao. Sasa rudini katika vikao vya ndani na kujipanga upya!
  8. Ileje

    Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Yanga apewe kombe lake 🏆!
  9. Ileje

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kwa hiyo hata hili linahitaji mhasibu?
  10. Ileje

    Simba rudini kwenye drawing board, Management ijiuzulu

    Yanga apewe kombe lake!
  11. Ileje

    Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

    Kudadadeeeki limekufa jitu! Asanteni sana wazee wa Kikwajuni!
  12. Ileje

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Hivi unatumia akili yako sawasawa au ni ya kupandikizwa!
  13. Ileje

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Sidhani kama kuna ubaya ya kuwa na kabila la Watusi Tanzania cha msingi makazi yenu yafahamike. Kwa sasa mmesambaa na ni vigumu kuwaweka katika ramani. Kwa hiyo toplemon kazi kwako!
  14. Ileje

    TFF tamko lenu kuhusu Yanga kufungiwa ni lipi?

    Wachezaji wote wa Yanga walipata baraka ya FIFA na TFF na wana vibali vya kucheza mechi za ndani na za CAF, changamoto ni za kiofisi kuweka mafaili sawa. Hivyo kaa kwa kutulia kipigo cha mbwa koko kipo pale pale tarehe 20!
  15. Ileje

    Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Benchika ni kocha wa viwango na makombe tatizo ni majungu yenu!
  16. Ileje

    Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Cha Arusha hakuwezi kukuacha salama!
  17. Ileje

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Kwa kupewa ukweli?
  18. Ileje

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Leo Lucas Mwashambwa lazima alale na viatu!🤓😁😂
Back
Top Bottom