Search results

  1. M

    Vyombo Vya Dola Hovyo!!!

    Tuungane kuikataa POLISI ya Tz kwanini hawachukui hatua kwa watu wote na kubagua aina na makundi ya watu? nani hajui kuwa yule mbunge KIMEO wa jimbo la Buchosa alifoji vyeti na hili likathibitishwa na polisi kuwa ni kweli vyeti vyake ni vya kufoji na kutoa hati hiyo? sasa naomba, kujua...
  2. M

    Mahakamani Kuna Haki Kweli?

    Nataka mchango wa hali ya juu kweli katika hili, ili nimuandikie Jaji mkuu; Wapi Tanzania,uliwahi kuona mahakama imetoa hukumu halafu mshtakiwa akakata rufaa kwenye ngazi ya mahakama inayofuata halafu mshtakiwa akishinda kesi hakimu aliyetoa hukumu ya kwanza akihojiwa ni kwanini hakuona makosa...
  3. M

    Nataka kumshitaki mudhihir

    napenda nieleweke wazi kabisa, ushauri wako unayesoma hii utanisaidia mawazo ya mwisho mwisho kuhusu azma yangu. nataka kwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya mheshimiwa mudhihir wa mudhihir sababu za mimi kumshitaki mudhihir ni 1. kuendesha gari kizembe na kujaribu kujiua(kujisababishia...
  4. M

    Kumbe taifa stars imetumika!

    waungwana wenzangu kuna habari ambazo nimezipata hivi punde; kumbe taifa stars imetumika! kuna habari za kuaminika kuwa timu ya Taifa ya Tanzania imetumika vilivyo kupenyeza matumizi ambayo sijui niyaweke kundi gani, nadhani ni yaite ni mabaya kwakuwa zimetumika kwa sifa ya kiongozi wa serikali...
Back
Top Bottom