Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.