Search results

  1. M

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Wema wako ulizidi uwezo .wahenga walishaliona Ili
  2. M

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Wema wako ulizidi uwezo .wahenga walishaliona Ili
  3. M

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Awe amefanya au ajafanya jambo muhimu kama baba wa unayejieshimu utakiwi kumtazama kijakazi Kwa macho ya kumtamani , hiyo ni kukosa heshima Kwa mkeo na kumfedhehesha hivyo utakiwi kuonewa huruma kama ambavyo umhurumii mtoto anayetafuta kuona kama atakuwa na kesho yake badala yake unaenda...
  4. M

    Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Piga nogozone dawa ya kunguni
  5. M

    Naomba kujua square meter ajili ya tiles za ukutani

    1m sawa na cm 100 Sasa badili vipimo kwenye Mita Kisha uzidishe
  6. M

    Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

    Tafuta kitu inaitwa body condition score utaelewa tofauti ya ngombe wa maziwa na nyama . Asante
  7. M

    Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

    Naweza pataje na Kwa mkoa Gani mkuu
  8. M

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Ukiitaji tuanze kushusha darasa hapa la kudiferentiate sign of poultry disease uwezekano upo kabisa bila tatizo
  9. M

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Kuna kitu kinaitwa sign of disease, Kuna general sign of disease alafu mwisho Kuna differential diagnosis maana yake hapa mtaalamu anaangalia sign ambazo zinaendana na magonjwa mengine Kisha ataitoa sign Moja ambayo ni unique Kwa specific disease anafanya conclusion sasa kama anafanya hivyo hapo...
  10. M

    Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

    Nilitafuta mbegu sijapata una connection ya mbegu zake
  11. M

    Suluhisho la konokono msimu huu wa masika ni kumdhibiti malkia wao

    Metalydehyde ndo dawa ya konokono .Over
  12. M

    Vijana Muigeni Msomi Mwenzenu Anaevuna Mamilioni Kupitia Zao La Parachichi

    Bei imesimama huku vijijini Jana nimetoka kuongea na wakulima uko njombe wanasikitika sana kingine kinachoumiza wakulima Awana hata taarifa.
  13. M

    Nawezaje kuwadhibiti mchwa wanaoharibu nyasi?

    Eleza uliweka dawa kiasi gani kwenye maji kiasi gani Ili usaidiwe na ulipiga mara ngapi ? Na eneo Lina ukubwa Gani ukinijibu hayo na kama uko tayari nipe kazi hiyo maana ndo kazi zetu hizo kuanzia kumeneji viwanja vikubwa(Turf management), mbegu za ukoka na mengineyo. Tatizo lako limeshapata...
  14. M

    MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

    Poultry business in tropical doesn't work like that comrade. Ndo maana kama umepitia huko Kuna vitu vinaigwa annual and season premises maintenance practice
  15. M

    Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Tatizo lako bado hauna umakini Ili usaidiwe hitaji lako . 1. Ili unufaike inatakiwa uwape chakula kama supplement halafu unawaachia kingine wajitafutie wawe na uhuru wao hapa unaweza kuzuia eneo Fulani Kwa net Ili wasiende mbali 2. Kiwango Cha pesa na mahitaji mengine atuwezi kusema coz lazima...
  16. M

    Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Nimeona mdau anazungumzia mchwa . Mbali na hiyo dragnet pia unaweza kutumia chlopyrifos 480 ec inafanya vizuri Kwa mchwa na awaleti uharibifu dozi ni 100ml Kwa 20lt za maji na dawa hii Lita 1 ni elfu 20 hii watanzania wengi wanaweza imudu na inakaa kwenye udongo at least miezi 4 hadi 6
  17. M

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Typhoid ni hatari sana jitaidi sana kama mdau alivyokushauri hapo juu. Pia uwe na routine ya kuchanganya OTC ya unga ata kwenye chakula chao , usafi wa Banda.
  18. M

    Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Je unauzoefu na viumbe hao Kwa mda Gani ? Je unatoa chanjo za kuku Kwa mda mwafaka kama kideri, mdondo, vihepe, homa ya matumbo n.k kabla ya kuwalaumu hao wataalamu jiulize wewe una nini? Coz ugonjwa unaingia taratibu na kutoka ni taratibu. Pia hata hospital watu ufariki na dawa wamepewa...
Back
Top Bottom