Ukweli wa mambo Zitto anakosa sifa moja tu ya umri, Dr Slaa anayo sifa ya umri unaoruhusiwa na katiba inayoelekea ukingoni zilizobaki wote wanazo, kuna mambo mengine sioni kama yana uhusiano sana na urais, uzinzi, uasherati na umalaya ni tabia karibu za wanaume wote, hekima na busara nyie...
TEH TEH TEH,
It sound kama walikuwa part of you ukawa experiance,,,,,,,,
Anyway ipo kwenye jokes tu......
Majina ya Jakaya huwa wanapenda sana wanawake
JK NI BABA YAKO MDOGO
I like it, it seems like jokes but this is how Islamic protects women, that religion is beauty and only last and final revelation sent to all mankind, People back to Muhamad (pbuh).
:lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!
Watanzania bwana, ujue Nyerere aliwanyima elimu watu kwa wingi, akawajengea mazingira ya kuwa na hali moja ya maisha(umaskini) ili iwe rahisi kwake kuwatawala kwa kuwa mtu akiwa maskini na hana elimu atahoji au kupinga kipi, hii ndo sababu yeye Nyerere anaonekana kama Nabii Fulani vile, yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.