Search results

  1. B

    Kamati ya Bunge ya viwanda na biashara yaagiza Serikali kupiga marufuku mifuko ya plastiki kutoka nje ya nchi

    Badala kamati kuzunguzia mafuta ya kula na sukari wako buzy na mifuko?
  2. B

    TLS ni mali ya umma, sheria ya TLS imetungwa na Bunge

    Hivi muunganiko wa watu unakuwa Mali ya Serikali!? Hata sheria ya vyama vya siasa na asasi za kiraia imepitishwa na Bunge lakini haimanishi kwa ACT na Red cross ni Mali ya Serikali bali ni vyombo rasmi vilivyopo kwa mujibu wa Sheria!
  3. B

    Tulio na madigrii tunaaibishwa sana na failures aisee! Nini maoni yako?

    Ila kwa hilo la Msukuma ni kweli kabisa ingawa ukweli unauma
  4. B

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Yeye anatabiwa wenzie anazuia wasitibiwe .ila mungu Ni wa maajabu kwani unaweza ukadhani una power kumbe mungu anakushangaaaa
  5. B

    Katibu wa Bunge: Hali ya afya ya Spika Ndugai inaendelea vizuri, kurejea nchini wakati wowote

    Ameshindwa kwenda kumwona mbunge wake aliepigwa risasi na ss hatuna haja kujua hali yake!
  6. B

    Musukuma: CHADEMA hawana ubavu wa kumhoji na kumfukuza Lowassa. Mwenye mbwa hawezi ng'atwa na mbwa wake mwenyewe

    Huo msemo wa mwenye Mbwa hanga,atwi umepitwa na na wakati kwani kingunge along,atwa na mbwa wake
  7. B

    Star Media yatozwa Sh100 milioni kwa kutoza fedha chaneli za bure

    Vyombo vinavyosimamia hili tafadali tenda haki, kwani DSTV na AZAM wanauza za bure kwani kifurushi kikikata inabaki Chanel moja tu
  8. B

    Star Media yatozwa Sh100 milioni kwa kutoza fedha chaneli za bure

    Mbona dstv nao wanatulipisha Chanel za bure ,kifurushi kikiisha unabaki na Chanel ten
  9. B

    Askofu Hafidh ampongeza Rais Magufuli kwa kuukataa ushauri wa mzee Makamba!

    Anapongeza hewa ,hata ushauri wenyewwe hautaji pengine ilikuwa na tija!
  10. B

    Dola ya Marekani imeshuka kiasi hiki?

    Umeibiwa wewe change ni 2243
  11. B

    Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    Mwiba wakati sio mwanachama chochote alijivua toka 2015
  12. B

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    Kwa hiyo hata waliojenga miji ikiwa vijiji watakiona cha mtema kuni...hatarii ndugu zangu!
  13. B

    Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

    Du huyiu jamaa JM ni majanga,ndio maana kila akipewa kazi inamshinda kumbe bongo yake haijitanui aka mropokaji! Mbunge anae msema yeye kasema aliwawekea dhamana tu ili baadae waje wailipe kampuni!
  14. B

    Jaji Lubuva: Hakuna lolote jipya la kujifunza kutoka katika uchaguzi wa Kenya

    Kuna binadamu anaweza akashindwa kujifunza kwa wenzie. Basi kama yupo atakuwa na matatizo ya kli ,na hiyo inaonyesha kwenye tume kulikuwa na magumash kibao. Hata kuona umuhimu wa mahakama kuchukukua nafasi yake na kuepusha machafuko haoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    Halotel mmeanza kupuyanga sasa!

    Jamani ttcl 4g ni zaidi ya noma kwenye speed, au connect na fiber ndio utajua mwisho wa maneno...hakika ttcl ni baba lao
  16. B

    Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

    Tatizo la tanzania yetu ni kuwa mambo makubwa yanayohusi raia tunayapuuza ila mambo ya kawaida kama faru john ndio utasikia kelele mpaka tume zinaundwa!!
  17. B

    Misamaha ya kodi Bakwata na Taasisi nyingine

    Ukweli ni kwamba huwezi kulinganisha makosa yako na ya wengine ,nakuna uwezekano bakwata waliingiza magari lakini maofisini kwao hakuna magari na kwa taasisi nyingi walioingiza utayakuta yapo. Hivyo bakwata ni makosa kufanya crime kwa kuingiza magari kibiashara au ya watu binafsi.
Back
Top Bottom