Search results

  1. mbalisana

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    Nilipotelewa na vyeti vya shule. Olevel na Alevel. Nimejaribu kuvitafuta nileenda TCU nikaangalia database ya wanafunzi walioenda vyuo vya elimu ya juu,nikidhani huyu aliyevichukua kaamua kuvitumia sikufanikiwa. Natamani nipate vyeti vyangu, napata...
  2. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Nina siku nyingi sana usingizi kwangu shida, hamu yakula sina,hata utendaji wangu wa kazi unapungua sana, sababu kubwa ndoa yangu jamani,nalazimika kutengana na mume wangu hali bado nampenda. mume wangu kawekeza katika ngono sijui tatizo nini,muda mfupi wa ndoa yetu na watoto wetu 2 bado wadogo...
  3. mbalisana

    Mwanaume ukiamini kuna kutegeshewa mimba,amini hakuna "safedays" unaweza ukaoka.

    Sipingi kwamba kunakutegeshewa mimba, ila huwa inanisikitisha sana ninaposikia wanaume wanalalamika kutegeshewa mimba.mbaya zaidi kuna wanaume wengine watoto watatu mama tofauti wote anadai kategeshewa. kwa mtazamo wangu kwa dunia ya sasa inawezekana na ni bora mwanaume upange maisha yako...
  4. mbalisana

    Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

    "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mweyewe" huu ujumbe nimekutana nao mara nyingi ila kwa siku hizi unanichanganya. Ni upumbavu upi hasa unaotajwa hapa?na je kuna wanaume wanaopelekea nyumba zao kuvunjika? hawa wapo katika kundi gani? inanitatiza nimekutana nayo mazingira...
  5. mbalisana

    Nahitaji kuongeza uzito wa mwili na kutibu

    Ninatatizo la kuumwa kichwa hasa ninapokuwa na matatizo ya kifamilia, shule n.k. Tatizo linazidi kadri siku zinavyoenda naweza nikaumwa hata wiki dawa za kutuliza maumivu wakati mwingine hazinisaidii. Nikipima hospitali wanakosa ugojwa mpaka imefika kama nikiumwa kichwa wakati ndani...
  6. mbalisana

    Hivi ndoa ni kero kiasi hiki?

    Hivi inakuwaje binti ndo kwanza kamaliza chuo 26yrs,anaomba aolewe na mwanaume mwenye mke na watoto 2, kila siku anaahangaika kupiga simu mara nakupenda sana, nakumis sana,ukinioa namimi nitakuzalia watoto 2,huyo mkeo labda anatumia dawa lakini naamini unanipenda mimi zaidi kwakua tunatoka...
Back
Top Bottom