Bila shaka waliokuwa wakitoa Makala za Utambuzi wapo. Wajitokeze. Baadhi nawakumbuka kama Guru Francis. Shabani Kaluse, Haroun Janah, Stella Kamitu, Amri Gembe, Juma Yona na Asha Mkindi. Hawa woote walichangia kutoa Makala ktk Jitambue. Wako wapi? Kwanini wasikutane wakakubaliana kurudisha...
Mmoja wa wana JF ametukumbusha ule wakati tulipokuwa tunasoma Elimu ya Utambuzi kupitia Gazeti la Jitambue. Lilitolewa na TK Media. Baada ya kifo cha Munga Tehenan, gazeti nalo likapotea. Hata hivyo nina hakika kwamba Wanachama na Watanzania wengi wamesikitika sana kulikosa Gazeti hilo. Naomba...
Dah!! Umenigusa paleple. Nimekuwa Mwanachama wa Miaka yoote. Lakini Kifo cha Munga kimetupokonya Mtu muhimu sana. Gazeti JITAMBUE lilitoa faraja kwa wenye Msiba, wenye shida na kila nyanja ya maisha. Lilitufanya tukubali hali halisi ya maisha tuliyonayo kwani lilitupa moyo. Niliwahi kumuuliza...
Ngojeni kidogo...kidogo tu... Huyu Jamaa Kova ni yule aliyewaweka mbele ya kamera wale jamaa waliokamatwa na Muro akatuambia ni Matapeli na ni wa kuogopwa sana... Lakini mwisho wa siku wakaachiwa huru na Mahakama.
Hawa Polisi nao ndiyo wa kuwajadili humu. Inakuwaje wapoteze muda kuyazuwia yasisomwe? Kulikuwa na tuhuma za Rushwa Polisi wanataka kwa Madreva khs leseni. Lakini hiyo si ndio Polisi Jamii kuwaanika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.