Nyambafu niliwekewa risiti maeneo ya kariakoo maandishi yamepauka balaa namba hazisomeki.mpaka mwanangu wa darasa la tano alipofanikiwa kunisomea na kufanikiwa kulipa.hakikisheni mashine zenu zinaprit vizuri ndo mtoe risiti
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Pole huyo ndo mkeo kama unampenda endelea kuishi nae ila andika kabisa urithi kuwa ukifa asipate Mali yako yoyote hata boxer yako. wakili apige mihuri kopi mpe yeye na wazazi wake naamini hiyo hasira aitajirudia
[8/25, 7:31 PM] First Born: Alikua anaenda kumuhuzia mtu dhahabu maeneo ya masaki police wakamkamata so wakat wanaenda kituo salander
[8/25, 7:31 PM] First Born: Polisi ndio chanzo aise walitaka kumzulumu
[8/25, 7:31 PM] First Born: Wakaingia chobingo hili wamalizane police wakaleta tamaa yenye...
Kuna wakati nikinywa kvant nakata network kabisa naweza kustuka usiku na kujiuliza nilifikaje home. Inawezekana ni za Hawa jamaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.