Search results

  1. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani. Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua...
  2. Hushan

    Tabora: Matunda ya kutengenezea wine ya amarula yapo Tanzania

    wanajamviii nimeona niweke wazi sijui kama kuna watu wanafahamu hii wine inayotoka south africa inayoitwa amarula yaani ni kukosa viwanda sijui ni nini, maana miti ya matunda haya yapo mkoa wa Tabora japo kuwa yanapatikana kwenye misitu. Lakini sioni hatari kama watu tutajitosa na kuchuma na...
Back
Top Bottom