Search results

  1. W

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Anayepingana na Lema(mb) ni mchawi, hii ni kwa sababu Tanzania tnakabiliwa na ufisadi na matatizo chungu mzima kwa kuwa tunakuwa tunaoneana aibu pale rafiki zetu wanapofanya makosa makubwa au madogo kazini, na iwapo hatuchukui maamuzi sahihi mapema kama walivyofanya nccr mageuzi chini ya kina...
  2. W

    Tafsiri Yangu: NCCR-Mageuzi Imenasa Kwenye Gea Ya Reverse!

    Kaka Maggid, kwa namna fulani nakubaliana na wewe na kwa upande mwingine napingana na hoja zako kabisaa, Hebu fikiria mara mbili au zaidi; Lengo la kila chama ni kuwa kifanye kazi zake ili kufikia makusudio yake, ndani ya nccr kafulila amedaiwa kukichafua chama chake kuwa ni cha ki ccm ccm na...
  3. W

    NCCR waanza kuteremsha bendera kupinga kutimuliwa kwa Kafulila na wenzake

    Kawaambie tena kuwa NCCR chini ya Mbatia ni watu makini kutokana na uamuzi walioufanya kwa kuwatimua viongozi wake walioonyesha utovu wa nidhamu, Watanzania inatubidi tuepuke tabia ya kuangalia matokeo ya tukio fulani tu kwa sababu siyo busara kudeal na matokeo ya uamuzi fulani bila kuangalia...
  4. W

    Chama cha NCCR mageuzi kimeomba kukutana na Rais

    Hakika unaonekana kufikiri kwa kutumia masaburi,tafuta hoja nyingine kwani tayari kafulila ameshaondoka na maji,na inajulikana kuwa wewe ndiye ulifanywa kuwa kinara wa kuripoti tarifa ktk gazeti la nipashe zinazohusu nccr kama sehemu ya kumwezesha kafulila ambaye ni kibaraka wa ccm ili...
  5. W

    CUF imchukue Kafulila

    Ni kweli ,umenena sawasawa kuwa jamaa achukuliwe na CUF, coz CDM hatakiwi kabisa kutokana na uroho wa madaraka nakupend kuanzisha migogoro, aliyemwita bwana migogoro hakukosea, nashauri viongozi wangu wa cdm waepukkane na hiki kirusi kinachojiita kafulila, kama mnataka kuleta bifu kati ya HECHE...
  6. W

    Kafulila....:wanafiki na vipofu wa tanzania ktk tasnia ya siasa mfe mara moja kwa upumbavu wenu

    Hivi sasa na kwa muda mrefu hali ya watu ya kutofanya uchunguzi na uchambuzi wa masuala mbalimbali kwa umakini na kina cha kutosha vinazidi kushika kasi hapa nchini, hii ni kutokana na kile kuwa watu fulani wamekuwa BENDERA fuata upepo,kwa mfano inashangaza kuona na kusikia kuwa watu...
  7. W

    NCCR yameiva: Kafulila kuvuliwa uanachama Jumamosi!

    Kafulila,jamii imewashawachoka watu wa aina yako,umaarufu unaoutafuta utakucost daima maishani. Huwezi kuwafanya watu kuwa mafala wako,wewe ndo unabaki kuwa ****, Dr.Slaa alikutimua CDM, Leo NCCR tena WANATAKA WAKUTIMUE, UNATAKA KUTUSHAWISHI KUWA WEWE unaonewa kila wakati na kila mahali?acha...
  8. W

    James Mbatia (NCCR) amnyang'anya Kafulila nafasi ya U-katibu Mwenezi!

    Kimsingi, nawapongeza viongozi wa nccr kwa kumvua ukatibu mwenezi kafulila,hii ni kwa sabubu amejifanya anamtuhumu mwenzake huku akijua kuwa yeye ni sehemu ya matatizo ya chama, hii iko wazi kwa kuwa kafulila ameshindwa kuitumikia nafasi hiyo, hivi tujiulize ni nani aliyekuwa anajua kuwa...
  9. W

    Mnafiki Kafulila anayeelekea kufa kisiasa?

    Hivi sasa anahaha kisiasa kwa kutafuta huruma kutoka wananchi akidhani nccr ni mafala. Nccr wanadai kafulila kalikoroga na atalinywa kwelikweli, huenda kilchomfanya tumfukuze chadema kikamkuta nccr. Tulipokuwa tunamshughulikia ndani ya cdm jamii ilituona tunamuonea na alipotimkia nccr waliona...
  10. W

    Machali kujiuzulu ubunge?

    Binafsi, nachukua fursa hii kumpongeza Mh. MACHALI kwa msimamo wake wa kuapa kujiuzuru ubunge na uanachama wa NCCR iwapo Kafulila atakuwa mwenekiti wa chama hicho, unajua watu wengi hamjui kafulila na tabia zake mbaya, wala huyu hana uzalendo hata kidogo ni mr.misifa yaani hupenda kusema tu...
Back
Top Bottom