Search results

  1. brainiac89

    Katika hili Madaktari hamtutendei haki wa-Tanzania

    Nayasema haya nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa kwa hiki ambacho madaktari wanachoendelea kututendea waTanzania! kuna machache wacha niyaseme ili moyo wangu utulie! 1. kama sikosei mgomo wa madaktari wa mwaka 2004, madaktari walikua wanadai ongezeko la mishahara, ambapo kwa kipindi...
  2. brainiac89

    New member

    Kama kawaida ndugu katika jamii! Mdau mpya, katika mwaka mpya, na mawazo mapya ya mabadiliko katika jamii! Nagonga hodi natumai kufunguliwa mlango ndani ya nyumba nikaribishwe!! Shalom!
Back
Top Bottom