Search results

  1. J

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mm nimpongeze mama yetu samia Suluhu Hassan, kiukweli saiv tunaona mabadiliko makubwa kivitendo, Enzi za mwenda zake haya mambo yalikera mno,alipenda sifa kupitiliza, na wateule wake walimjua, kila mmoja wao akawa anapigania kuwa front page ya kumpamba!, kila chombo cha habari taarifa ni zake...
  2. J

    Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Kazi iendelee mama sio mtu wa makamera, namkubali sana, ila tunaomba katiba mpya.
  3. J

    Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Msitutishe aise Tz hamna korona, tusitishane, wewe unayeitajataja corona itakupata wewe
  4. J

    SHAKA: Zitto Acha Ulalamishi na Siasa za Kitoto

    CCM hamna jimbo ambalo wanashinda kihalali!!
  5. J

    Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Hujamuelewa mkuu wa mkoa, alichomanisha hapo, kuna walimu wengi wapo mjini hawataki kwenda vijijini, hivyo shule za vijijini kukosa walimu, na wananchi kutozwa hela kwa ajili ya kuwalipa walimu wa mikataba!!
  6. J

    Waziri Kalemani msaidie meneja wa TANESCO Mkoa wa Iringa

    Hizi ni kazi za kiufundi mkuu, hivyo subira inahitajika, wanaojitaji huduma sio wewe tu wapo wengi, changamoto zilizopo Tanesco mafundi ni wachache, unakuta Wilaya nzima ina mafundi nane, na technician mmoja, na wanaohitaji kuunganishiwa umeme ni wengi na wamelipia. Ndio maana lazima usubiri...
  7. J

    Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Taarifa kama hizi peleka takukuru!! Ndo kazi yao!! Lakini ukweli ndo huu kwamba rushwa haitaisha Kwenye nchi hii!! Mm ninaamini hata hao 271 ni watanzania wenzetu sema ni vzr ajira zikatangazwa kwa uwazi vijana wachangamkie sio kinyemela hivyo, hapo ndo wanakosea
  8. J

    Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

    CCM ndo chama Dola! Wana hela yatakutosha huwezi linganisha na vyama vya upinzani!!! Kwa hali ilivyo vyama vya upinzani Hususani CHADEMA ndo chama bora nchi hii!!! Ccm ni chama sio hawa wanaonunua wapinzani???? Spika huyuhuyu wa CCM amewangangani wabunge waliofukuzwa na chadema!!! Ni dhahiri...
  9. J

    Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Mbona mnangangania sana, akina chimbi sana, hapa Tanzania ni wao tu???? Watu wameanza kuongoza toka utawala wa mkapa bado mnawangagania haohao hamna wengine??? Mm mnaniudhi sana!!
  10. J

    Tatizo la kupoteza/kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Acha uzinzi utakupeleka jehannum ya moto ndugu, kama unazidiwa na tama oa tu, hizo ni tamaa na zitakupeleka motoni mpokee Bwana Yesu ili uwe na Uzima ndugu yangu
  11. J

    Rais Samia Suluhu ukiongeza mshahara na Madaraja Mei Mosi 2021 watumishi wataandika jina lako kwa Mhuri wa moto kwenye mioyo yao

    Haohao watumishi waliopuuzwa ndo haohao walioipitisha CCM kwa zaidi ya 80% hivyo ngoja wakubaliane na hali
  12. J

    Ongezeko la Mahusiano ya kingono yasiyo halali katika jamii zetu

    Hizi ni nyakati za mwisho hazina tofauti na nyakati za nuhu! Hivyo dhambi ya uzinzi inachukuliwa kama jambo la kawaida, mwenye kuipenda nafsi yake ataiangazmiza mwenye kuichukia ataiponya!!!
  13. J

    Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Dhambi ni mbaya sana, watu wamkimbilie Bwana Yesu awakoe na tamaa za kidunia ambazo lengo lake ni kuwapeleka wengi motoni Ufunuo wa Yohana 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa...
  14. J

    Nafasi ya Kazi

    Wapi huko
  15. J

    Magufuli amehubiri injili kama wakina Petro na Yohana

    Mungu yupi?? Maana hata shetani ni mungu wa dunia hii soma 2 Timotheo 2:19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, <br>Bwana awajua walio wake. <br>Na tena, <br>Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
  16. J

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Ndugu zangu kwa sasa maisha ya watanzania wengi ni magumu, hela hamna, Ajira hamna, biashara imekuwa ngumu!! Kitendo hiki kilichofanywa na TCRA sio cha kizalendo tulitegemea kuona nafuu lakini imekuwa kinyume chake, nani yupo nyuma ya hili??? Huku ndiko kumsaidia mwananchi wa kawaida au ndo...
  17. J

    Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Natafakari sana sipati jibu!!! Huyo ndo mteule wa magufuli tunayemjua au mwingine Kumbe ndo maana 1: Assad alitumbuliwa 2: bunge live likazuiwa 3; wasiojulikana wakaongezeka 4: kusifu na kuabudu kwa mkuu vikaongezeka 5:vyombo vya habari havikuwa guru 6: watu waliogopa kutoa maoni!!! 7; msimba...
  18. J

    Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Hiyo tiyari ni Roho ya shetani ilishakuvaa huwezi kuacha kwa nguvu zako, unahitaji nguvu za Mungu, Ouky naomba nitext wasap 0672363681 nitakusaidia namna ya kuondokana na tatizo hilo na wewe utawafundisha wengine
Back
Top Bottom