Search results

  1. Jiwe kuu001

    Daladala za kupanda kufika Ocean Road cancer institute

    WanaJF naomba maelezo ya daladala za kupanda kufika ocean Road cancer Hospital Dar es salaam nipo Gongo la Mboto
  2. Jiwe kuu001

    Ni hospital gani ambayo inatoa huduma ya kufunga bracelets kwa kutumia Bima ya Afya

    Ni matumain yangu mu wazima wa Afya, Niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba kufaham kwa yeyote mwenye Ufahamu wa jambo hili. Ni hospital gani ambayo inatoa huduma ya kufunga bracelets kwenye meno kwaajil ya kufanya proper arrangements ya meno kwa kutumia Bima ya Afya. Natanguliza shukran
  3. Jiwe kuu001

    Naomba msaada wa tatizo hili la PC

    Wakubwa Natumai Mu wazima wa afya. Niende kwenye Mada moja kwa moja Wakuu laptop yangu Hp elitebook 2760p RAM 4GB HDD 500GB Window 10pro nikiiwasha inaniletea maelezo hayo msaada tafadhali
  4. Jiwe kuu001

    Naomba kujuzwa duka la kufanya Mabadilishano ya Laptop (Laptop Exchange)

    Habari Wakubwa, Hongera kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa. Wakubwa niende kwenye Mada moja kwa moja wakubwa nina Laptop mbili Zote ni Hp Ellite book. 1:Hp ellitebooka 2760p Hii ipo kwenye hali nzuri kabisa, pamoja na Ellite book nyingine ambayo imeharibika keyboard pamoja na Battery. Wakubwa...
  5. Jiwe kuu001

    Hp elitebook 2760p core i3

    Wakubwa hongereni kwa Ujenzi wa Taifa letu pendwa [emoji1241] Wakubwa naomba kufaham kwa wenye ujuzi wa haya Maswala ya Computer naomba kufaham ubora wa Hii PC Aina ya Hp elitebook 2760 Core i3 CPU 2.03 RAm 4Gb HDD 500GB Natanguliza shukran Kwenu[emoji120]
  6. Jiwe kuu001

    Filter bora kwa SIM

    Wakubwa Heshima yenu katika pitapita zangu huko Twitter nimekutana na hizi picha mbili Yakwanza ni original photo ambayo imechukuliwa kwa sim na ya pili ni baada ya kuwekewa filter kiukweli nimeipenda aina hii ya filter naomba kwa anaefaham App ambayo inaweza kufanya filter kama hii picha...
  7. Jiwe kuu001

    Nahitaji laptop ya kusomea na 'gaming'

    Wakubwa hongera kwa ujenzi wa Taifa, Natafuta laptop kwaajili ya kusomea na Gaming Brand Hp, Dell au Lenovo. Budget yangu ni lak3
  8. Jiwe kuu001

    Msaada wa haraka

    Wakubwa naomba ufafanuzi wa swali hili linahitaji nini "In wich circumstances the literature review is said to be critical"
  9. Jiwe kuu001

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuingia ndani kwa macho

    Wakubwa hongera kwa shughuri za Ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Wakubwa naomba kupata ufafanuzi wa jambo hili. Je, nikwel uvaaji wa miwani ya macho kwa muda mrefu hupelekea macho kuingia ndani zaid? Je, kama nikweli mtumiaji wa miwani ya macho afanye nini? Natanguliza shukran zangu...
Back
Top Bottom