Search results

  1. TCSPM

    Mtaaluma maswala ya ndoto

    Wadau wataalumu mnamo alfajili siku 2 zilizopita nimeota ndoto ya mda mfupi sana na ktk ndoto nilimeona Simba Alie nenepa sana katika Poli la majani mafupi na mchanga wenye vumbi nilishtuka lkn chaajabu Simba alikuwa tayali amenikalibia karibu mno kiasi kwamba nisingeweza kukimbia...
  2. TCSPM

    Ujenzi wa mjeredi mgongoni

    Wadau kichwa tajwa hapo juu Niko na 26 Years Jijin Dar income 200k per month na 30k allowance per week ktk harakati za maisha Mungu amenisaidia kuwa na nidhamu kubwa sana ya kutimiza malengo yangu ya Kila mwezi nayojipangia Toka 2021 mpaka Leo nikiwa ktk shauku ileile. Hakika ujenzi wa kipato...
  3. TCSPM

    Mtindo huu wa uezekaji unachangamoto gani?

    Habari! Wana Jf Nina boma langu style hii inayoonekana pichani naipenda sana kwani haijaingia sana mtaani hasa maeneo niliosimika boma langu af pia kutokana na kipato changu 200k naona nitampuguza gharama nyingi hofu yangu sijui kesho ya hili nililo chagua mnaojua changamoto za style hii nijuzeni
  4. TCSPM

    Msaada: Wakuu, natafuta kampuni nikafanye field

    Mwongozo hapo juu ni kijana (25) natafuta kampuni ya Mambo ya shipping nifanye field Mara baada ya kumaliza semister 2 mwezi wa 6 Nipo mwaka wa pili (Diploma) course ya SHIPPING AND PORT MANAGEMENT. Pia nimesoma course ya computer vizuri Sana nazijua Documents muhimu na mtililiko wake na kwa...
Back
Top Bottom