Kaka umenikumbusha mbali... Nilikuwa siwakosi pale kijiji cha makumbusho kijitonyama na silent inn mwenge. Never miss... Ilikuwa burudani sana; umenikumbusha kina Small wangamba, alwatan minyugu, God, pili, na wengine wengi. Kwa kweli naimiss sana burudani hii.
Hujamaliza uchunguzi wako... Ukiendelea na huo uchunguzi wako utakuta ni ile ile mijitu ya sinza imehamia tabata kwa wastaarab ndo inaendeleza mambo hayo huko tabata... Nyambafu zao...
Tafadhali hebu tupe habari kamili. Segerea sehemu gani? Vina ukubwa gani? Bei inazungumzika? Vina hati? Unaweza kutupa list angalau vitano na bei zake vikiwa pia vinajibu maswali hayo hapo juu?
Mimi nimepitia hiyo tovuti na napata jumla ya kodi zote na registration kama Tshs. 2.7M. Gharama ya gari mpaka Dar es salaam (C.I.F) inaweza kufika $2,700 (F.O.B + Freight + Inspection) ambayo kwa rate ya sasa ni kama TZS 4.3M. Jumlisha na clearing charges zingine kama TZS 700,000, utakuta gari...
Na mnastahili mbaki bila lami hivyo hivyo. Mmewezaje kumwacha mpiganaji kama huyu na kwenda kuchagua watu wasio na uwezo. Huoni kama mmetucheleweshea maendeleo ya Taifa kwa kumchelewesha Magufuli kuja kututumikia..?
Nafahamu Zitto ni mfuasi mkubwa wa Hayati Mwalimu Nyerere. Anazo quotes nyingi sana za Mzee huyo muasisi wa Taifa hili. Nahisi kuna quote moja haipo kwenye collections zake, na kama anayo basi ufuasi wake utakuwa unatia shaka. Quote yenyewe ni hii hapa
"IKULU NI MZIGO. MTU SAFI KABISA...
Ndugu wana-JF, naomba mniondolee utata ulionikumba. Kuna tuhuma kwamba serikali inahusika na utekaji wa Dr. Ulimboka na kumfanyia hayo waliyomfanyia. Swali langu la kwanza ni kutaka kueleweshwa kama serikali ilikuwa na nia ya kumuua au kumtesa tu Dr. Ulimboka. Kama serikali ilikuwa na nia ya...
Faizafoxy umetaka angalau jambo moja tu zuri alilofanya Nyerere, nami nikakutajia machache mawili tu. Tayari umeshabadili hoja na kutaja majina ya watu. Mimi sasa hata sijui wewe unachotaka ni nini! Lakini nakuusia tu kuwa inabidi kutumia busara nyingi na hekima tele katika kujibu hoja mbali...
Haya FaizaFoxy, mi nanunua kesi hii. Nyerere katusaidia kupata uhuru wetu, pamoja na wazulu wako hao kuwa walikuwepo, lakini waliona yeye ndiye anaweza. Wakamtoa kazini, wakamtambikia na mbuzi kule Bagamoyo, Nyerere akaenda kwa wazungu akaleta uhuru. Tuache yooote mengine aliyoyafanya, alikuwa...
Wanajamii wote mmeshindwa kutofautisha mambo ya msingi yaliyohitaji kufanywa zama za Nyerere na baada ya hapo. Mazingira ya wakati wake, nikimaanisha kuwa ndio wakati alikuwa anaanza kutengeneza nchi baada ya kupata uhuru bila wataalam, na kama walikuwepo basi ni wale ambao walitaka kutuandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.