Search results

  1. uniq

    Kupanda kwa bando la Internet

    Habari wananchi wa Tanzania. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kupanda kwa bundle za internet kwa zaidi ya mara mbili kwa bei iliyokuwepo awali. Swali langu kuu ni kwamba gharama za uendeshaji kwenye mitandao ya simu zimepanda?? Nakama zimepanda nini kimesababisha? Je...
  2. uniq

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Ndugu mimi ninaomba kujua tu. Nani anaejua matokeo halisinya hizi chanjo?? Nani anaejua madhara ya hizi Chanjo?? Huoni kuwa ni risk kwa taifa kufanyia majaribio kwenye Jeshi na Madaktari wake??? Hii chanjo ingekuwa imesha tumika tukaona matokeo yake hapo ningesema hakuna shida ila hakuna hata...
  3. uniq

    Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    Msaada Pls Inamaana kuwa nikituma shs 10000. Ninakatwa kodi mara nne? Najua sinta eleweka.. Ila ni hivi. Mimi natuma hela nina katwa VAT na kodi ya serekali hayo nimakato mara mbili. Kampuni ya simu nayo kwa hela ile ile niliyotima atakatwa VAT na Kodi ya serekali. UPINZANI TENGENEZENI SERA...
  4. uniq

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Huu uni ga unao endelea Tanesco. MAGUFULI angekuwepo saahizi kunamtu kibarua kimeota nyasi. Na umeme ulisha rudi kawaida siku nyingi. Kweli Magu tutakukumbuka.
  5. uniq

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wasi wasi wangu kuna jambo Tanesco wanafanya. Na watakapo rudisha huduma INAWEZEKANA WAKARUDI NA BEI TOFAUTI YA UMEME PER UNIT. Lazima umeme utapanda bei.
  6. uniq

    Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Kuna test nyingi sana ana fail. Umeme unakwenda siku 3 haupatikani, Magufuli miaka mitano ya kwake hukuwahi kusikia shida kama hii ya umeme, bila kusikia kiongozi akitamka neno.
  7. uniq

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Na mwenyewe alisema tutamkumbuka. Sasa sisi wa kupata 2000 leo ndio ununue umeme tunalala giza. Ina gikia mahali mtu unatamani kufunga loop wire nyuma ya meter upate umeme. Kuliko kusubiria umeme usio patikana.
  8. uniq

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Mimi hili nakataaa Mfumo wowote lazima uwe na buckup. Mfumo unaoingiza hela kama Luku uniambie upo down toka juzi??? . Hilo haliwezekana kuna sababu mahali.
  9. uniq

    Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Mkuu tulia tuli Nyumbu wanakwenda kuumbuka siku si nyingi. Wamesahau kuwa Mkulu haendeshwi na maneno ya watu wa vibarazani
  10. uniq

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Naweza tu kukuambia wewe tulia tuendelee kumuombea He is in good health.
  11. uniq

    African leader taken ill, admitted to city hospital

    Bado nawaza aibu itakayo wakuta watu pale Dr Magufuli atakapo toka mapumzikoni huku akicheka kile kicheko chake. Lissu. BBC Nyumbu Sijuii mtaziweka wapi nyuso zenu. Wakati nyie mnamuombea Rais kifo wapo wanao muombea uzima kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu iendelee kumfunika. Tuna kaataa na...
  12. uniq

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Lissu nimuongo kama waongo wengine na AIBU ITAKAYO WAKUTA NADHANI ITAKUWA ZAIDI YA ILE AIBU YA UCHAGUZI.
  13. uniq

    African leader taken ill, admitted to city hospital

    Yani imebidi nicheke kwa kweli. BBC ni nyumbu kama nyumbu wengine
  14. uniq

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakikujibu watakuambia tutumie namba yako ya simu.
  15. uniq

    TANESCO Nyamagana ni wazembe na wabovu kiutendaji

    Huku kukatika kwa umeme kumezidi sasa. Tunaomba kujua kama mgao imeanza au la. Halafu mnapenda sana kuomba namba za simu za watu. Ndio kusema mnataka kutengeneza database ya namba za simu???. Hebu rudisheni umeme huu uchumi wakati mtauhatibu wenyewe
  16. uniq

    Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

    Walicho kifanya chadema leo ni changa la macho tuu
  17. uniq

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Hii ni wiki ya Chadema kudhalilika. Kila wakifungua mdomo wanazidi kudhalilika
Back
Top Bottom