Search results

  1. singanojr

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Nakazia only 20% [emoji375][emoji375]
  2. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hapa hutopata watakao kuunga mkono , ni kwa watu wenye akili kubwa tu
  3. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Tatizo lako wewe ni old school na tabia yenu kubwa ni kukariri , unadhani simulizi ndefu haziwezi kuhaririwa , hebu tumia hio simu yako kuingia hata Amazon kindle kuna simulizi zina episode 5000 ujifunze funze acha kuishia kuangalia makalio ya malaya ununue kama ulivyojinadi. Kwa taarifa yako...
  4. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA. MTUNZI: SINGANOJR . Mono no aware ILIPOISHIA Miaka saba iliopita Rose alijifungua mtoto wa kiume huku Clark yeye akijifungua mtoto wa kike , ndani ya muda mfupi tu Roma alikuwa na watoto wakike watatu na wa kiume wawili na alikuwa akitegemea mmoja kutoka kwa...
  5. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR Mono no aware. ILIPOISHIA Kila mtu alijua nafsi ya Roma imekwisha kupotea mara baada ya kuachana na mwili lakini maajabu yake ni kwamba ilionekana ilinasa katika hicho kioo kama sio kushikiliwa. “Katika vitabu vyetu inasemekana kwamba...
  6. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR Mono no aware SEHEMU YA 797. Ni muda huo huo wote wawili yaani Sharif na Aoiline ghafla tu walijikuta wakipatwa na hali ya hofu iliowasababishia kufubaa nyuso zao. “Hebu subiri!!”Sharif aliongea kwa nguvu akimzuia Edna ambae alikuwa...
  7. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR . Mono no aware ILIPOISHIA Upande mwingine katika ulimwengu unaojitegemea watu wote walijikuta wakisimama wasiamini macho yao . Hata kwa Sharif na Aoiline wote walisimama kwa pupa wakimwangalia Roma akikiendea kifo kwa mshangao mkubwa na...
  8. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA . MTUNZI: SINGANOJR. Mono no aware. ILIPOISHIA Poseidon , Ares , Hephaestus na Hermes wote waliinua siraha zao wakipanga kummaliza Roma na pigo moja. Nishati ya anga ilijikusanya karibu yao na kutengeneza umbo la chusa linalotoa mng’ao wa rangi ya bluu...
  9. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR Vanity of vanities , all is vanity SEHEMU YA 793. “Zeus..!1” Roma moyo ulimsinyaa , alijiuliza inamaana wimbi la sauti ambalo ni kama lilikuwa likitaka kuharibu anga lilitoka kwa Zeus?, ni palepale alipata kujua lazima sauti aliokuwa...
  10. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA CREATOR: SINGANOJR SEHEMU YA 790. “Yaliokuwako ndio yatakayokuwako ,yaliotendeka ndio yatakayotendeka, wala jambo jipya hakuna chini ya jua .Je! kuna jambo lolote ambalo watu husema juu yake , Tazama , ni jambo jipya?,Hilo limekwisha kuwako , tangu zamani za...
  11. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA. MTUNZI: SINGANOJR WATSAPP: 0687151346 Mono no aware SEHEMU YA 788. Roma alijikuta akiweka tabasamu kama vile alikuwa amekula kitu kichachu , ilikuwa ni kama vile alikuwa amepoteza uwezo wake wote. Kila kitu kilirudi mwanzo , asingeweza kumgusa Athena ambae...
  12. singanojr

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Umetumia shilimgi ngapi for upgrade boss
  13. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Na nimeanza nyingine ndefu tu zaidi ya hii tatizo ni moja tu you're not the targeted audience .
  14. singanojr

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    tena ukute hapo yanayonguruma ni kumi tu[emoji23]
  15. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Umeongea kwa uchungu mkubwa sana pole mkuu na asante kwa maoni , wakati ukiendelea kutafuta simulizi au kitabu kitakachoendana na radha yako zingatia huushauri , upo kwa kingereza sijui hata unakijua. Not liking novels doesn't mean one can't appreciate creativity in other forms. People have...
  16. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Zipo za Chombezo mkuu zimejaa kule fesibuku kakomae nazo
  17. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA. MTUNZI: SINGANOJR . Mono no Aware SEHEMU YA 786. Roma sauti yake ilionekana kubadilika na kuonyesha zaidi hali ya kukasirika mara baada ya kuona anasumbuliwa na Sharif. Alijiambia anaongea nini huyo na methali zake, muonekano ?, ukweli wa moyo?, Kama angekuwa...
  18. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANOJR Mono no Aware. ILIPOISHIA Lakini muda uleule wakati akijiandaa kutumia uwezo wake wote Athena alitoa sauti ya kumzuia. "Subiri kwanza dakika moja"Sauti yake ilionekana kubadilika haikuwa ya kikauzu na ya kiadui kama.mwanzo. "Nini tatizo ...
Back
Top Bottom