Search results

  1. Nadir Naimuor

    Tatizo la kukatika kwa maji wilaya nzima ya Sengerema bado ni kizungumkuti

    Leo ni siku ya tisa sasa maji kukatika wilaya yote ya Sengerema kinachoelezwa hapa ni kuwa Tanesco wamekata umeme kwenye chanzo cha maji Nyamazugo ambapo ulipo mtambo wa kusukuma maji wananchi wanahaha kutafuta maji huku wenye dhamana wakikodoa macho mradi huu wa maji wa Nyamazugo ulipewa fedha...
  2. Nadir Naimuor

    Uonevu unaofanywa na Wenyeviti wa Mtaa na Mtendaji wa Kata ya Nyamlukano wilaya ya Sengerema

    Hoja sio kutoa pesa maalim ni wapi mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wanapata nguvu ya kukamata wananchi na kwenda kuwafungia kwenye office ya mtendaji kama mahabusu sheria ya wapi hii
  3. Nadir Naimuor

    Uonevu unaofanywa na Wenyeviti wa Mtaa na Mtendaji wa Kata ya Nyamlukano wilaya ya Sengerema

    Kumekuwa na mchango wa shilingi elfu 10 kwa kila kaya ambayo imeelezwa na wadai kuwa ni fedha zinazo changishwa kwa ajili ya kujenga shule ya kata nyamplukano shida sio wananchi kuchangia maendeleo yao hapana, tatizo ni force inayotumika kukusanya michango hiyo. Mwenyekiti ajulikanae kwa jina...
  4. Nadir Naimuor

    Mambo mbalimbali ya hovyo kwenye Halmashauri zetu

    Nitajikika kwenye halmashauri ya Sengerema mkoa wa Mwanza imekuwa kawaida sana kwa watendaji wa halmashauri nyingi kutokuwajibika na kuwatumikia wananchi wakati mkuu wa wilaya yupo mkuu wa mkoa yupo mkurugenzi wa wilaya yupo OCDVyupo OC CID yupo DSO yupo mpka Waziri au mhe Rais apite wilaya...
  5. Nadir Naimuor

    Miradi ya Serikali inayochukua muda mrefu na kusababisha kuwa kero kwa Wananchi

    Naanza kwa kuishukuru Serikali yetu pili mhe rais wetu kwa kazi kubwa, Lakini nije kwenye hoja yangu wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza hapa wilayani kuna barabara ambayo wahusika walipiga picha kuweka michoro na nguzo za zege nyumba ambazo zitabomolewa kwa ajili ya utanuzi wa barabara hiyo...
  6. Nadir Naimuor

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Najaribu kuandika kwa uchungu sana ni kweli tunahitaji maendeleo kwenye taifa letu ila kusubiria maendeleo hayo iwe kero na maisha magumu kwa wahusika kwa mfano mm na wenzangu ni kati ya wananchi ambao nyumba zetu zimepimwa ili kubomolewa kwa ajili ya utanuzi wa barabara ya sengerema nyehunge...
  7. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Washukiwa waliokuwa wamekamatwa wote wako nje wameachiwa
  8. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Amekula oficeni chakula kimeletwa kutoka kilikopikwa ni nyuma tu ya office yao
  9. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Vyombo husika wafanye kazi kwenye hili na matukio mengine yanayo mwathiri binadamu au kukatishwa uhai wake kwa makusudi
  10. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Swala la mtu kupewa sumu sio jambo la kawaitwa na alie fanya hivyo sio binadamu wa kawaida haijalishi alie mfanyia ana itikadi gani wala chama gani.
  11. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Kwenye maswala ya kibinadam au swala lolote lisilo la kibinadam lisihusishe vyama au itikadi binadamu yyte ana haki sawa na mwingine
  12. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Nadhani mamlaka husika zitalichunguza kiundani tukio hili
  13. Nadir Naimuor

    TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

    Jicho linaelekea katika jimbo la Sengerema lililopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza jimbo ambalo kwa miaka kumi na tano liliongozwa na Ngereja kama mbunge Ila mwaka huu baada ya kura za maoni kuisha Chama cha Mapinduzi kilimpitisha mgombea Hamis Tabasam kuwa mgombea ubunge. Katibu wa CCM kata...
  14. Nadir Naimuor

    Kama hujuma za kampuni ya NAS Dar Airco zingelikomeshwa mapema na watendaji kuwajibika vilivyo, yaliyotokea yasingeendelea kutokea

    Naamini kila anaehusika upande wa serekal watachukuwa hatua stahiki kabisa nchi hujengwa na wananchi husika lakini pia sio kila mgeni au makampuni ya kigeni huja nchini kwa nia njema watanzania tuondoe zile kasumba zetu jambo linalohusu maendeleo ya nchi yetu tuwe macho nalo mambo ya siasa na...
  15. Nadir Naimuor

    Kama hujuma za kampuni ya NAS Dar Airco zingelikomeshwa mapema na watendaji kuwajibika vilivyo, yaliyotokea yasingeendelea kutokea

    Uzalendo kwa nchi yako uko wa aina nyingi ila kwa makala hii inayo ihusu kampuni ya Nas dar Airco ni maalum kabisa itakayo fichua madudu ambayo wanaohusika au serekal iyashughulikie ipasavyo na iyone kwenye vita hii ya kujenga uchumi tunatakiwa kusimama sawasawa
  16. Nadir Naimuor

    Kama hujuma za kampuni ya NAS Dar Airco zingelikomeshwa mapema na watendaji kuwajibika vilivyo, yaliyotokea yasingeendelea kutokea

    KAMA HUJUMA ZA KAMPUNI YA NAS DAR AIRCO ZINGELIKOMESHWA MAPEMA NA WATENDAJI KUEAJIBIKA YALIYO TOKEA YASINGEENDELEA KUTOKEA Salam wakuu, Naandika haya kama mzalendo ninayetamani kuona mabadiliko Makubwa kwenye Viwanja Vyetu vya ndege Tanzania. Leo nitazungumzia Kampuni Tata ya NAS-DAR Airco...
Back
Top Bottom