Search results

  1. G

    Ushauri wenu kabla sijafanya maamuzi magumu

    Iko hivi: Nina mpenzi wangu wa siku nyingi kama miaka 7 hivi. Hivi karibuni mapenzi yalianza kupoa na nikiri wazi kuwa mimi ndiye haswa niliyekinai na kumueleza mwenzangu kwa maneno hata kwa kumuonesha kwa vitendo. Hapa na pale nikaopoa Jimama na niseme wazi kuwa kilichonivutia kwake haswa ni...
  2. G

    Anayeidai Serikali posho ya kukaimu na jina lake limetoka ajitokeze

    Wandugu, pamoja na taarifa ya kulipwa kwa madeni ya watumishi wa umma kutangazwa kwa mbwembwe nyingi sana nina wasiwasi kama kundi la watumishi wenye madai ya kukaimu limeguswa katika orodha ya majina yaliyotolewa. Kama yupo mtumishi wa namna hiyo naomba ajitokeze ili anitoe wasiwasi huo...
  3. G

    ACACIA, Barrick Gold Corporation na African Barrick Gold

    Nimejaribu kufuatilia historia ya Majina ya Makampuni tajwa hapo juu nikaishia kuchanganyikiwa zaidi! Nadhani hapa ndipo penye "puzzle" kwetu sisi Watanzania na ndipo tunapochezewa kekundu! Moja: Kampuni ya kwanza ya uchimbaji madini iliyokuja na kuwekeza Tanzania kuanzia mwaka 1998/9 iliitwa...
  4. G

    Mitandao ya Simu za Mikononi, Mmetekwa?!!!!

    Nikiwa mmoja wa Wadau na Watumiaji wa huduma za Mitandao ya Simu za Mikononi haswa upande wa DATA, ninasikitishwa na HUDUMA MBAYA au zilizo CHINI YA KIWANGO nnazopata kwa sasa nikilinganisha na miaka iliyopita. Inasikitisha kuona tunapiga hatua kurudi nyuma badala ya kwenda mbele! Mimi ni...
Back
Top Bottom