Search results

  1. M

    Treni ya Mwakyembe bado sana, SUMATRA waikwamisha

    Nawapongeza Vingozi wa SUMATRA kwa kuliona hili wiki mbili zilizopita, naandika juu ya usafiri wa Treni nikimuomba waziri wa Uchukuzi Dr. H.Mwakyembe pamoja na nia yake nzuri kutafuta ufumbuzi wa kupunguza shida ya Usafiri mkoani DSM. Lakini jambo hili lifanywe kwa umakini zaidi baada ya...
  2. M

    Picha: Mkutano wa chadema huko Karatu...

    Ushauri kwa Wapenzi na Wanachama wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo CHADEMA nimefurahi sana kuona vingozi wetu wanafanya juhudi kubwa kukitangaza chama Tanzania nzima ushauri wangu wa bure kwa muda huu Tanzania ni kubwa ssana Kijiografia kuifikia hadi uchaguzi mkuu 2015 ambapo watazania...
  3. M

    CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

    Kuzimia kwa aibu ipi? inaelekea wewe hujui siasa ndio nyie mkipewa nafasi mnaamrisha watu wapigwe Risasi kisa chama fulani kitaingia madarakani washindanapo wawili lazima mmoja ashindwe vyama vya upinzani vilianza na ziroooo hivi sasa hali ikoje????????????
  4. M

    Manji aanza mkakati wa ujenzi wa uwanja yanga

    Nimependa kuonda juhudi za kiongozi Mkuu wa Young Africans Mwenyekiti Yusuph Manji anataka kufanya pale Jangwani lakini naungana na washabiki wenzangu wawe wa Simba au Yanga au mpenzi wa timu yoyote haya yasiwe maneno ya kujisifia tu kwani maneno yanayohusu Uwanja huo wa KAUNDA yamekuwa ni...
  5. M

    Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

    Kama ulimsikiliza vizuri Mkuu wa Kaya Dr,Mh,Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Mrisho Kikwete katika hotuba yake kwa wanachama wake wanaogombea nafasi mbalimbali katika chama chetu aliwatakia kila la kheri wale wooote wenye kutaka kuondoka kwa sababu ya majina yao kuondolewa katika...
  6. M

    PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

    Je Mapolisi wa CCM waliwasindikiza wananchi katika mkutano huo??? kwa maana sijasikia kwamba Chadema wamevunja sheria hapo jana.
  7. M

    Dk. Mwakyembe awapa polisi siku 14 kuwataja polisi wezi wa mafuta

    Dr, H.Mwakyembe hiyo ndiyo Serikali yako ya CCM ya maisha bora kwa kila Mtz wakisema akina Dr,W.P.Silaa kwamba serikali ni Mbovu inafanya maovu mengi sana kiasi wananchi tunaanza kuiogopa kwani hata mauuaji yanayojitokezza kwenye mikutano ya vyama vya upinzani kwa nini wananchi tusiwe na...
  8. M

    Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

    Mwenzetu itumie Elimu yako kwa faida ya wengi kuwaelimisha juu ya hoja iliyopo uwanjani endapo watanzania wote wangekuwa na akili kama za kwako wanaelewa kila kitu basi Tanzania ingekuwa kama USA, tusingekuwa watu omba omba kama marehemu (Matonya) huyo Mchemba hana kitu kichwani kama wewe sababu...
  9. M

    Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

    Kutokana na uelewa wa walio wengi bado tumebaki gizani juu ya maelezo yako juu ya hukumu hiyo yametuacha vinwya wazi kwani mnamo tarehe 2o/9/2012 kesi ilihairishwa kutokana na ombi la mawakili wa pande mbili katika kesi hii kutokana na msiba wa baba yao Mzazi mawakili husika hivyo wapenzi wote...
  10. M

    Yanga kushney, kwaheri Tom!

    Kawaida ya Timu kubwa za Tanzania hasa SIMBA na YANGA kinachotakiwa ni ushindi tu si vinginevyo kama wewe huna kumbukumbu nakukumbusha Jamhuri Khiwero, Sam Timbe, Mzambia P.Phiri ni baadhi ya makocha waliokuwa club ya Simba lakini baada ya kutofanya vizuri kwa waajiri wao walitimuliwa na kurudi...
  11. M

    Serikali yatoa ramani mpya ya Tanzania

    Tanzania Tunaishi zaidi kwa Mazoea kwa vile baadhi ya watanzania wameitumia fursa hiyo kujitengenea maisha yao binfsi hivyo kila jambo lipo shaghala baghala.
  12. M

    Kamanda Kamuhanda: Siwezi kujiuzulu

    Waandishi wa habari mnazidi konyesha udhaifu mwingine baada ya Kifo cha Mtanzania mwenzetu D. Mwangosi mimi sisemi mwandishi wa habari tu bali mtanzania mwenzetu kwa maana mlolongo wa mauaji yanayo ligusa jeshi la polisi ni mengi sasa nilifurahi sana kusikia Azimio la wanahabari baada ya kifo...
  13. M

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    Ni jambo la kusikitisha sana kusikia Madaktari wetu wanakuwa Vigeugeu wakijua maisha ya Watanzania yanawategemea wao. swala la madaktari kugoma sio kwamba lilikuwa linawafurahisha wananchi wanaoishi katika nchi hii bali ni kutokana na muda mrefu wananchi tukifika katika Hospitali zetu tunakuta...
  14. M

    Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

    Tambwe Hizza naona sasa uananza kuibuka Upya baada chama cha Mapinduzi kukugeuza Vuvuzela kwa muda mrefu na kukutelekeza Mabwe pande naona umeibuka baada ya kupata msamalia mwema je utaweza kumpiku vuvuzela Nape maana yeye alianza na kujivua Gamba hadi leo Gamba limegangania mwilini kama jumba...
  15. M

    Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

    Endapo unaona Waandishi wa habari kosa lao ni kuwapenda CHADEMA na mambo yao basi wewe una Kasoro kubwa kwa maneno mengine tunaseama kwa msemo wa sasahivi unafikiri kwa kutumiaMakalio
  16. M

    Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

    Kiongozi wetu ameenda Nchini Kenya kutoa ubani kwa wafiwa huko hapa nyumbani Ubani ni Majaliwa.........aaaaaaaaaa tusubiri wakati wa hitima
  17. M

    Waziri Nchimbi hakuvamia kwa bahati mbaya maandamano ya waandishi wa habari leo Jangwani

    Wanahabari na Watanzania wote kwa Ujumla poleni na Matukio yanayofanywa na jeshi la Polisi bahati mbaya hatujajua wanafanya hivyo ni kwa amri ya nani hasa?? nawapongeza wanahabari kwa kufanya Maandamano ya Amani siku ya jana kutoka kituo cha kutangazia hadi katika viwanja vya Jangwani na...
  18. M

    DC amkwida diwani katika chakula

    Ndugu yangu usipowaangalia hao vizuri kwenye maakuli watakumwakyembe
  19. M

    Lini BASHE amepata URAIA?

    Hussein Bashe, alisharudishiwa Uraia wake siku nyingi sana kwani aliitishia serikali ya CCM kama wanamnyanganya uraia wake atasitisha kuleta (MIRUNGI) toka Somalia akiwa mfadhili mkuu wa chama cha mapinduzi ndio kwa maana hata wanapotoleana bastola kutishishiana na mgombea mwenzake kiongozi wa...
  20. M

    Hivi Shigela ni Kijana? Ana Akili Vizuri?

    Hiyo ndiyo SAMPLE ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi,nakupa mfano Makamba Yusuph,Tambwe Hizza, Stephen Wassira, John Lusinde,Wilson Mukama, Nape Nahuye,jikumbushe wanakuwaje wanapopanda jukwaaani maneno yao tuwasamehe bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee uwezo wao wa kufikiri ndipo unapoishia.
Back
Top Bottom