Search results

  1. Fohadi

    Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Naongezea. Messi ana under 17 kama sio under 20 Golden medal
  2. Fohadi

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bro, Issue sio kwenda kampuni nyingine issue ni kuwa yuko connected na Mama Janeth na yeye atakuwa curious kumfahamu Iryn lazima afanye njia yoyote kuprove kile ulikuwa unasimulia Hapo hapo ndo kitaharibika
  3. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye CV au kwenye portal?
  4. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kuuliza viongozi. Kuna positions zimetoka masharti zinahitaji uwe na referees wawili. Wakati mpaka sasa hivi kwa applications za nyuma tulizofanya mimj CV yangu niliyoupload ina referees 3 pamoja na kwenye system nilijaza 3. Sasa swali langu ni je? Kwenye kuapply hizi nafasi, natakiwa...
  5. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema uongo dhambi...UTUMISHI wanaonesha jinsi gani wana BUREAUCRACY ya kupindukia. Aisee It doesnt make sense watu kusubiri zaidi ya siku 30 majibu baada ya usaili.
  6. Fohadi

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Tred ndo nini kwanza hujui hata unachoandika....Nimeongea utumbo umesikia sauti yangu humu? Hujui hata kutofautisha kati ya kuongea na kuandika.....NONSENSE!!!!!
  7. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, with all due respect. Interviews za UTUMISHI inabidi zipewe heshima yake....Unaweza ona mtu amekariri tu lakini katika manotes yote na mambo yote, kile kitendo cha kuyajua majibu sahihi tu tayari ni ushindi. Jambo lingine, MDA & LGA ndio ilikuwa Oral yangu ya kwanza (Naamini nitafaulu kwa...
  8. Fohadi

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Aaaaaah kumbe mkuu swala la kuamua kuleta humu story ni wewe tu na wala sio ubize wala nini.. Maana hapo unasema ulikuwa na MPANGO wa kuleta hiyo story tarehe 5 March ila kwa kuwa umeguswa na comment ya mwamba unasema utaiwahisha.....Safi. Ila hapa chini nina barua yako ya wazi With all Due...
  9. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante. Je kwa upande mwingine inaweza kumaanisha kuwa nimezingua?
  10. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante sana mkuu.. Sio mbaya nikajifunza zaidi kwa ajili ya kuelewa zaidi na kwa yule ambaye hii inaweza kumsaidia kesho. Hayo mambo wanayoyataka ni kama yapi mkuu...kwa uzoefu na uelewa wako
  11. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sisi hatukupewa limitations. Waliuliza swali na mtu inabidi ujielezee. Ndipo katikati ya maelezo wakanikatisha tu wakasema inatosha.
  12. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante....Hii ina effect gani kwa msailiwa? Sio dalili ya kuzingua?
  13. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nashukuru Mkuu.... Lakini kutaja elimu yako, experience na some achievements tu ambazo unazo tena kwa muda wa chini ya dakika 2 ni mambo mengi hayo? Anyway, Mungu anajua zaidi na Pengine ngoja tusubiri Majibu
  14. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa. Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili. Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:- 1. Background yangu i.e jina na elimu. 2...
  15. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Have a little more faith.....MDA&LGA waliofanya interview juzi Dodoma....walisubiri kwa miezi 6 kuwa shortlisted tu kwa ajili ya Oral.....Your time is coming.....Have a little more faith.
  16. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi wakuu, sisi wa LGA na MDA....Tunaweza kupangiwa pia kwenye Mashirika na Wizara tofauti na Halmashauri?
  17. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema wenge la chumba cha usaili ni hatari sana....Pepa linaweza kuwa rahisi....ulitoka mle ndani ndo unakumbuka maneno mazuri zaidi ambayo ungeyajibu....ila ukiwa mule ndani evaporation yake sio ya kawaida wakuu 😄. Halafu wakui, hili swala la umeambiwa kwenye swali MENTION halafu wewe uka...
Back
Top Bottom