Search results

  1. E

    Ombi langu kwa watawala

    Nimepitia mabandiko mengi humu pia twitter hasa yanayohusu vifo au ajali zinaonesha zaidi chuki iliyojengeka baina wananchi kwa wananchi, watawala na wananchi. Ukipitia bandiko la kifo/ajali utaona watu wanavyotupiana lawama kwa maneno ya kejeli na kusahau utu baina yetu. Watu hufika mbali...
  2. E

    Hivi kupiga picha za utupu imekuwa ni 'fashion'?

    Habari zenu wadau? Kuna jambo tuwekane sawa yawezekana ni(tu)kaongeza kitu, nihusishe moja kwa moja kile kilichopo mbele yangu mpaka sasa. Kuna kasichana (mniwie radhi kwa kukadogolisha maana nimetokea kukadharau kweli ), she's looking innocent and decent, also she's bright maana huwa...
  3. E

    Kinywaji hiki kinaitwaje?

    Tusaidiane jina la hicho kinywaji
  4. E

    A cycle of love & friend (dilemma)

    Habari zenu wadau, ni mara ya kwanza kuandika uzi. Msaada kwa hili, Nina rafiki zangu naomba niwaite X na Y. X he is my childhood friend till now ana mchumba wake naomba nimuite Z. Huyu Z mimi ndo nilimtambulisha kwa X (sababu nilikuwa na-date na rafiki ake ila tushaachana), so wakawa wapenzi...
Back
Top Bottom