Search results

  1. Lindandali

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    ...akajifungua mtoto wa kike akampa jina lake vumilia... alipofika darasa la tatu akampa historia ya Maisha na kumsihi asome kwa bidii... alipofika kidato cha tatu..... naombeni hii nyimbo jina limenitoka ila baadhi ya mistari ndiyo hiyo
  2. Lindandali

    Wafanyabiashara na Wasafirishaji wagoma Songea wakitaka kuonana na viongozi wa mkoa, DC Cosmas atoa saa 24

    Tatizo lilianza mapema mwezi Jana pale mamlaka zilipoamuru magari tote ya abiria yapakie na kushusha stendi kuu ilojengwa nje ya mji wa Songea (shule ya tanga) Hii imepelekea maduka kuzunguka stendi ya mjini Kati kukosa wateja, stendi mdogo ya majengo pia imefungwa ikiwaacha wadau waliowekeza...
  3. Lindandali

    Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

    Wakati Legend Mirambo anapambania uhai wake kwa kulishwa kichwa cha mbwa, Legend MKWAWA alikua anakunywa supu ya mbwa tena supu ya kichwa. Yote kwa yote nimejifunza kitu kipya, shukrani mlugaluga
Back
Top Bottom