nenda pale jangwani au msimbazi kuna kazi kibao za saidia fundi wanaojenga nyumba zilizobomoka kwa mafuriko, au hii njia ya tandale kwa mtogole kuna mafundi wa barabara wana nafasi kibao wanaweza kukupatia, kwa siku elfu 25, hapo unasave paka 13 kwa siku au 15....kazi ni kwako
Acha dharau wewe mshamba, kama ni ka laki 6 na 8 ww unacho...???? wewe ndio wale wanaokataa kustaafu na kupisha watu wengine...acha watu wakajaribu bahati zao...wewe ni ***** na nna wasiwasi na elimu yako au hapo ulipo unafanya kazi ulitoa t...ko ama vipi..????
nani kakudanganya kua hizo kozi zitakusaidia kupata kazi popote...?????? kazi ss hivi ni kujuana tuu, hata ukitaka soma kozi zote hizo ila kama huna mtu imekula kwako kijana....jipange upya...
Acha kuogopa maisha ww..komaa bana, ebo..!!! I.T ndio kila kitu bana kama vipi anzisha kiofisi chako, jiajiri mwenyewe....ajira za kutuma maombi ya kazi hakuna siku hizi
hapa ni kujiajiri tuu...ss hiv kupata nafasi serikalini labda kama Baba yako anafanya kazi Utumishi........mamamamame kama unatoka mkoa na huna mtu mjini hapa imekula kwako...
Hhahaha yale yale ya UDOM, NHIF, what i know hizo position tayari watu walishaanza training...nyie mnaenda kuzugwa tuu hakuna kitu hapo ni wizi mtupu...utakachofaidi ni kujuana na watu na kuonana na marafiki zako mliopoteana kwa muda...
hahahahahaha mm kuna jamaa yangu kashaanza kazi, hakutuma wala application, baba yake yupo TCU ni mkubwa flani iv pale, hahaha hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo, pole sana
aaaaahhhhh kaka ndio umemaliza juzi tuu hata vyeti bado, hata kijasho cha chuo hakijaisha, aaah kua na subira bana kaka, ila kama huna mtu wa kukushika mkono akakupa mchongo kiukweli utasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaa. ila omba mungu sana na tuma application kama chizi vile
ni kweli eti kila kazi inataka experience ina maana hapo hakuna maana ya kumaliza chuo sasa, yaani hawa jamaa sijui wanafikiriaga nn...mm nadhani ifike kipindi sasa mfumo wa watu kuajiriwa ubadilishwe kama mtu tayari ana ajira basi hakuna haja ya yy kuchukuliwa kwa ajili ya kufanya kazi sehemu...
Nimewasoma wadau sasa huyu jamaa hajui maana ya mimi kuweka number ya simu hapa ili tuwasiliane kama ana nia ya kutoa msaada..????? hahahaha jamani kueleweshana nako tutumie mabomu ya machozi..????
wa Accounts waliitwa faster faster kwa sababu walikua wanahitajika haraka sana...ila wataendelea kuita wa post nyingine, nilikua juzi kule ndio wakanipa hizo info, so jaribu kua karibu na website yao ya chuo
najua competition zipo ila isipokua ni ww mwenyewe jinsi ya kujibeba mwenyewe kwa mfano kwenye Interview hata kama ungesoma kozi ya watu kumi tuu Tanzania halafu unaitwa kwenye Interviiew ukambwela sidhani kama utapata kazi........
nafikiria kujiajiri ila kama unavyojua sisi watoto wa wakulima...
mmhhh kwa nn mnamsakama hivyo..??? hicho kiingereza ndio nini kwani acheni uboya wa kudhani kujua kiingereza ndio kua na akili huo ni ushamba na ulimbukeni, ndio maana mnaambiwa muwe mashoga ili mpate misaada kwa sababu mnashobokea lugha za watu,,,kama mna nia ya kumsaidia mshkaji chukueni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.