Search results

  1. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kosa lilikuwa kuanza bila kiungo mtuliza timu. Jorginho mzima partey mzima unaanzaje na kiungo kile... ainabidi akubali mmoja wao kati ya jesus au kai aanzie bench
  2. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama humpendi. Huwa unajipanga kuangalia makosa yake zaidi kuliko y kiufundi... kwa hiyo asingeanza kwa sababu humpendi siyo
  3. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Haya hamkusema kabla ya game
  4. kilamba lamba

    Yanga wametoka kihalali kabisa

    Wee jamaa nimegundua Hamnazo. Unaweka Picha ya vitu vingine kabisa. Matukio tofauti. Sawa mpirà haujavuka mstari weka picha sasa tuone.
  5. kilamba lamba

    Yanga na Simba SC hamtoboi hadi mnisikilize, full stop

    Kwa mpira huo ndo nimeelewa kwa nini mamelody misimu karibia nane sasa hajawahi kufika hata fainal caf
  6. kilamba lamba

    Yanga na Simba SC hamtoboi hadi mnisikilize, full stop

    Acha uzwazwa wewe... unaonyesha matukio ambayo VAR imeonyesha na kurudia vizuri ili kuridhisha kila mtu aliyeko uwanjani na asiyekuwepo uwanjani. Mbona VAR mechi ya yanga hawakufanya hivyo
  7. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hujui tu kai siyo Namba 9 wetu..
  8. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo kwa Party partey aanze joginho . Dkk y 60 aingie fundi partey kwa ajili ya msako
  9. kilamba lamba

    Hivi dalili za uchungu kwa mke zinaweza kumhusisha na Mume?

    Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima. Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume? Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?
  10. kilamba lamba

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huwa na Furaha nikiona mashabiki wa Chelsea hawana Furaha..😅
  11. kilamba lamba

    UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

    Historia haichezi mpira . Ile Form ya man city ya mwaka jana. Hata wangecheza na madrid Mara 10. Man city angeshinda mechi nane. Form ndo kila kitu. Historia inacheza Fainali tu ya mechi moja
  12. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna mtu alifikiri tungeitoa ile madrid na kuingia fainali. ? Nw mpira uwanjani tuombe tukutane na madrid na cyo man city
  13. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni uhakika game Ni ngumu . Na Ndo maana ya robo fainali. Arsenali akipita hivi vigingi viwili naiona nusu fainali ya 2006 na Fainali na barcelona tuko hapa.
  14. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha uoga ndugu Yangu..
  15. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndo mana nikasema katika timu zilizobaki atletico na inter ndo timu zinazopaki Basi na ndo zinaweza kumsumbua arteta
  16. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Katika timu zilizobaki wapaki basi Ni atletico n inter ambao mmoja wapo leo anachomoka. Kwa hyo sita zilizobaki zinapenda kupishana . Nyinyi wenyewe mnajua ukitaka kupishana na arsenal kinakukuta cha kukukuta. Hii arsenal usipishane nayo utaumbuka. Kwa hyo aje yoyote
  17. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Katika gemu ngumu me naiona ya porto ilikuwa ngumu sana kwa arteta. Ukizingatia na upana wa kikosi alichokuwa nacho. Kama amepita jana namtabiria mema. Na nahisi ndo ilikuwa target yake kubwa kupita kweta rrobo. Kuvunja miiko kwanza. Ila urejeo wa wachezaji wake muhimu. Hakuna timu yoyote...
  18. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uefa Jau..
  19. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na kupoteza Muda kote kule imeongezwa dkk moja...?
Back
Top Bottom