Search results

  1. Hata Sina kinyongo

    Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM. Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu...
  2. Hata Sina kinyongo

    Uwezekano wa Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya Makonda ni zaidi ya asilimia 80

    Namaanisha ndiye afisa wa Idara ya Usalama waTaifa aliyeiva haswa katika eneo la propaganda.
  3. Hata Sina kinyongo

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kwa hiyo wewe unaitwa dada nani au mama nani?Maana kuna kipindi ulitangaza nia ya kugombea huko ewe tajiri unayeshinda jf!
  4. Hata Sina kinyongo

    Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Chama cha madaktari Nchini Tanzania kimedai kuwa maambukizi na wagonjwa wa Covid 19 yamepungua/wapungua sana hapa Nchini. Akiongea na Idhaa ya kiswahili ya Ujerumani rais wa Chama hicho ametabanaisha kuwa visa vya wagonjwa wa Covid 19 vimepungua na hali hiyo inawapa faraja. "Ikumbukwe hapa...
  5. Hata Sina kinyongo

    Rais Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu ya Chamwino

    Mungu ibariki Tanzania na timu ya Yanga.
  6. Hata Sina kinyongo

    How Tanzania is Overtaking Kenya as Regional Economic Powerhouse..

    Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
  7. Hata Sina kinyongo

    Mlima warusha majivu kilomita 3 angani Costa Rica

    Acha yafe yote mashoga yale.
  8. Hata Sina kinyongo

    RC Mbeya ateka Mafarisayo mchana kweupe

    Ukiminywa kidogo ili ufafanue maana ya mandezi huchelewi kuomba msaada huko 'miga!'
Back
Top Bottom