Search results

  1. N

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Hv Simba wanacheza nn jaman mbona hata huku hawaeleweki
  2. N

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    Ukitaka kuacha kubeti chagua Ile timu unayoiamini kabisa ikicheza na timu kibonde kabisa ipe win or draw then tupia kamilioni, kakiliwa utaacha milele kubeti. Kama sijasahau 2017/2018 msimu ambao Barcelona anaongoza ligi kashinda mechi 15 mfululizo bado mechi tatu wamalize msimu na alikuwa...
  3. N

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Nchi za kiafrika hazijakosa nguvu kazi, alafu mkimbizi ana technology Gani mnawakuza tu
  4. N

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    We unaona baby wako hakusumbui sumbui umpe pesa unadhani yeye anazipata wapi? Tulia tuwalelee kwanza nyie walamba.lips
  5. N

    Mavunde CUP 2024

    Haya sasa washaanza. Kazi kwenu wananchi
  6. N

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Wapo hapo Kwa ajili yako mkuu, mshahara 60,000 hivi hapo mtu ataishi?
  7. N

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Hizo Sheria zinawahusu masikini ndugu yangu, sio watu kama hao
  8. N

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Kama kufungwa mtafunga watu wengi Sana walioajiri watoto chini ya 18 yrs. Lakini watanzania tutunge Sheria zinazoendana na uhalisia wa maisha yetu, hv ni wangapi wanaishia la Saba, ni wangapi wanaishia form four? Kwahiyo Hawa wasifanye kazi kabisaaaaa mpaka wafikie miaka 18? Nchi masikini...
  9. N

    Ali Kamwe: Simba wakisusia derby tutageuza Yanga day

    Hata mechi ya Mamelodi na Yanga watu walikuwa na mtazamo kama wako
  10. N

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Sasa mnaolalamika mlitaka viongozi watumie punda na farasi kwenda kutatua changamoto za wananchi?
  11. N

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Kazi Kwa METL saa 1 Hadi saa 10 malipo 150,000 Kwa mwezi. Yaan 5,000 ambayo sarange anaipata Kwa abiria wawili
  12. N

    Ali Kamwe: Simba wakisusia derby tutageuza Yanga day

    Hii mechi sio rahisi kadri watu wanavyoifikiria
  13. N

    Kwa Jicho la kimpira kuifuta Confederation Cup, CAF wamepuyanga, Motsepe unaharibu soka la Afrika

    Haitoisha misimu miwili wataridisha hayo mashindano. Watadumaza Sana vilabu vinavyochipukia Kwa sababu kihistoria hawana points za kuweza kushindana na hao kina Mamelodi, Simba, al ahly nk
  14. N

    Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Wenye pesa waliotoka familia tajiri ndio wako humble, sio hao ukoo mzima masikini ndio yeye kabahatisha kautajiri full kutukana waalimu, waliokuwa wanaongoza darasi enzi zake😂😂😂, wakulima,
  15. N

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Ila kiukweli demu akishakuwa single mother Hana Tena uwezo wa kuchagua atakavyo, lamda awe mpambanaji na mwenye kipato angalao mwanaume anayetambua atasema sawa yeye ni single mother ila anakasifa kaziada ni mpambanaji. Lakini single mother alafu kipato chako ni kupitia mbususu,,, tutapata...
  16. N

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Ndio uwezo wa waafrika ulipoishia hapo. Yaan badala ya kutatua matatizo sisi tunaamini hayo ndio mapenzi ya Mungu.
  17. N

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    Pesa ya kustaafu mtumishi mmoja aliyefanya kazi miaka 35 imekabidhiwa huko rufiji na mtu mmoja kutoka kwenye kisehemu Cha mshahara wake🤔🤔🤔.
Back
Top Bottom