Search results

  1. S

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Dar haya mambo acha tu mm nilizaa na mnyaturu wa Singida bahati nzuri kaolewa yupo hapa Mbeya,mm nilikuwa nafanya kazi Singida nikahamia Mbeya kabla ya yeye kuolewa ,Cha ajabu alivyoolewa huku akaanza kunitafuta nipo Mbeya sehemu Gani?Nilimjulisha sehemu nilipo ,nikaomba nimuone mtoto wangu...
  2. S

    Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Kabisa alikuwa msumbufu
  3. S

    Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Wakati nasoma KWIRO SEC SCHOOL form five and six sijawahi kupigwa kiboko na Mwalimu licha ya kuwepo MKUU wa shule jina la utani aliitwa KIMBUNGA alikuwa mkali sana lakini sijawahi pigwa
  4. S

    Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

    Kwani walicheza kushindania kombe?Ile ilikuwa ni mechi ya kirafiki tu tusubiri kwenye ngap ya JAMII watakapocheza na Singida Fountain Gate ndio tutajua kama wamo ama hamna kitu
  5. S

    Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

    Hao ni Sawa na Wanyaturu wa Singida tabia zao wanafana
  6. S

    Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Kuna jamaa mfanyakazi alioa Mnyaturu wa Singida ,Yule dada aliomba akasome,kwa kuwa jamaa alikuwa ameoa tayar akajiamini kuwa hata akimsomesha Yule dada hawezi kumsaliti,kilichotokea dada alimsaliti jamaa ndoa ikitaka kuvunjika kisa kusomesha !Kama unaroho ya Upendo somesha Mkuu😂😂😂
  7. S

    Mwanaume asiyemtuza mtoto wake ni mwanaume mjinga

    Mahitaji natoa ila kupitia namba ya mama mzazi wake ,maana nilimwambia hayo yako hayanihusu nikaomba namba ya mama mzazi wake akanipa
  8. S

    Mwanaume asiyemtuza mtoto wake ni mwanaume mjinga

    Mm huwa natoa matumizi kama kawaida kwa mtoto wangu ,ila siku moja huyu binti niliyezaa naye alikuwa anaumwa ,aliniambia naomba hela nikatibiwe ,nilimpa bila shida ,lakini ukawa kama mazoea anaomba hela mara kwa mara Eti anadai hata akiumwa yeye lazima nimhudumie kwa kuwa anakaa na mtoto wangu...
  9. S

    Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vita
  10. S

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    T branch hawa ndio watu wenye ukweli kwenye kutoa mkopo,wapo vizuri kadri unavyorudisha mapema ndivyo kiwango cha kukopa kinaongezeka sio matapeli kama wengne wapo vizur sana
  11. S

    Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Singida huu mkoa shida tupu kuna ukame,maji shida sana Singida,huu mkoa hapana kiukweli
  12. S

    Kamwe Usimuamini Mwanamke

    Kwa hisani ya Ashraf Hakimi,wanawake pasua kichwa sana
  13. S

    Wanawake wa mkoa Singida mngejua tumia uzuri wenu na misimamo nchi hii mngelifikisha taifa mbali

    Umaskini nao unachangia vijiji vingi unyaturuni na hali ya maisha au kipato chao ni dunia,wengi wa waschana wanakimbilia mjini kufanya kaz za ndani,kuuza maduka,bar,n.k mathara yake wanajiingiza kwenye umalaya
  14. S

    Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Ohoo nimekumbuka kitabu cha Passed like a shadow ,Adyeri and his concubine Birungi,Adyeri alichofanyiwa sio poa ndicho kitakachotokea kwako mkuu
  15. S

    Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Siku huzunika sana ila huenda ilikuwa siku Mbaya sana kwa Sabaya,Sabufa na Makonda maana walimuona ni kama Mungu wao
  16. S

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Nimeishi Morogoro kiukweli mazingira ni mazuri sana maeneo kama ifakara,mlimba,mngeta,matombo ni mazuri lakini kwa unafuu wa maisha Mbeya ni rahisi kuliko Moro kwa upande wangu,pale Morogoro Mjini maeneo ya nane nane maji ni shida sana ,lakini mkoa wa Mbeya madhari yake ni mazuri sana maeneo ya...
  17. S

    Mbunge Miraji Mtaturu amponda Tundu Lissu, asema hata Mbowe alimshtukia Baada ya kupokelewa na WATU kiduchu. Adai amerudi alikotoka kimya kimya!

    Huyu kapaniki kwenye jimbo la Ikungi Lissu anakubalika kuliko yeye,huyu mzee asipojiangalia 2025 Jimbo linarudi Chadema,Sehemu za Ikungi,Puma,Mungaa,Siuyu ,Misughaa na Ntutu ndani ndani huko bado wanamkubali Lissu
  18. S

    Mikasa/vituko vya lodge

    😂😂😂
  19. S

    Mikasa/vituko vya lodge

    Kipindi hicho nasoma pale KWIRO HIGH SCHOOL 2008--2010 nilikuwa naogopa sana pale kivukoni na ule mlima Ndololo ,ila kipindi nasoma pale vijana wengi walikuwa na videmu ST.AGNES SEKONDARI na REGNAMUND ila kuna mwanafunzi tulikuwa tunasoma darasa moja ,alikuwa anasoma HKL alimpa mimba mwalimu...
  20. S

    Huduma ya Airtel Money inasumbua, ukipiga huduma kwa wateja mtandao haupatikani

    Na mimi nimehangaika sana leo sijui wanashida gani hawa ,mtandao wao unasumbua balaa
Back
Top Bottom