Wadau, mimi ni kijana wenu nimejiunga Jukwaani tusongeshe gurudum la maisha kwa kujadilia mambo tofauti kulingana na maisha,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia.
Umri awe chini ya 27 sio mbaya, kabila lolote, Elimu yoyote, na kikubwa awe adabu na utii.
Kama upo...
Naomba kuuliza wadau, hivi Kuna uhusiano gani Kati ya rangi ya Ngozi ya binadam na rangi ya nywele zake,? Je kuna uhusiano wowote ule?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.