Search results

  1. M

    I need a born again husband

    Nakutakia kila la heri but kuna biblical ways za kupata hilo hitaji lako pliz zitumie na uwe makini usije juta baadae halafu ukaanza kuwaomba wapendwa wakuombee
  2. M

    Wa kusoma naye acca aliyeko mwanza

    HABARI ZENU WANA JAMII FORUMS NATAFUTA MTU WA KUSOMA NAYE ACCA FINANCIAL MANAGEMENT F9 ALIYEKO MWANZA KWANI NAMI NIKO MWAMZA KIKAZI KWA SASA.NAMAANISHA KUSOMA KWA NJIA YA DISCUSSION.KWA ALIYE SERIOUS NA ATAKAYEFANYA SOMO HILO PAMOJA NA MENGINE ANIPM AU ATUMIE alexmo@accamail.com AHSANTENI SANA!
  3. M

    Kupata nafasi ya kusoma ucc

    Anaweza kabisaaa akasoma nina mtu wangu wa karibu ambaye alipata DIV 4 amemaliza certificate na sasa anaingia diploma ya IT hapohapo UCC cha msingi tu atembelee ofisi zao au website yao kwa maelezo zaidi.Kuhusu CBE kwenye IT sifahamu sana ila DIT na IFM ni wazuri but sina hakika kama wana kozi...
  4. M

    "Microchip" katika New World Order, eti inakuja?!

    Si kwamba microchip INAKUJA imeshakuja swala ni muda tu kwa mfano Mexico idadi kubwa ya tycoons familiiles wameshawekewa hizo chip.Hii husaidia kuonyesha mahali walipo kama wakitekwa.Mexico ni kati ya nchi zilizo juu kwenye mambo ya utekaji nyara wa MATAJIRI.Hivyo wote walio microchiped...
  5. M

    Natafuta marafiki wanaompenda yesu waliokoka tualiane

    Karibu sana jamvini wewe unataka wapendwa tu wawe marafiki zako!!!! hupendi kuwapata na wengine ukawapiga neno nao wakasalimisha roho zao! even kwenye ulimwengu wa digital Yesu anaokoa, anyway sijui hasa concern yako mpaka ukaandika hii meseji maana iko very short otherwise wapendwa tupo...
  6. M

    Hodi wanajamii

    Hi all, Salaam wanajamiiforums Naomba kujitambulisha kwenu mimi ni member mupyaaaa hapa foramuni. hope mtanikaribisha, nitakapokosea mtanielekeza!!!!!!!!! Wakatabahu Mr. Alex
  7. M

    Graduates wa IFM ni wazuri sana kazini

    By mlimbwende Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university? Mhh post yako iko too general je una maana graduates wa kozi zote huwa unawaajiri hapo kazini kwako labda...
  8. M

    CPA mbona inakuwa ngumu kuikamata?

    Mhh ajifanyie tathmini yeye mwenyewe mbona wengine wanapata? akae chini na kujiuliza wapi anakosea kulalamika hakutasaidia.Labda hana uwezo wa kusit masomo matatu at par so why alazimishe kuisoma wakati kuna bodi kama acca ambapo mtu anaweza kufanya somo moja kila exam session na ndani ya miaka...
  9. M

    namtafuta mmu member awe mume wangu

    Bwana akupe haja ya moyo wako!!!!!!!!!!!!!!1
Back
Top Bottom