Search results

  1. tidier Ar

    Naomba utaratibu wa kupata kibali cha kujenga nyumba ya kawaida ambayo sio ghorofa

    Msaada kwenu ndugu maana saizi sielewi pia uwezo kujenga bila kibali upo lakini shida sitaki kuvunja utaratibu. MSAADA KWENU
  2. tidier Ar

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbagala

    Nyumba ina vyumba Vinne, master moja, sebule jiko na store na Pamoja na chumba kimoja master kipo nje BEI:48 MILLION IPO MBAGALA SAKU 0677663936
  3. tidier Ar

    Upatikanaji wa hati upande wa serikali

    Naomba nipatiwe mwongozo jinsi ya upatikanaji wa hati ya shamba na gharama zake mpaka mtu unapata hati kwa kiwanja cha heka moja.
  4. tidier Ar

    Naomba msaada wenu

    Kama kuna mtu amewahi kusikia kuhusu hiki kitu na hawa ni matapeli au La? je wanatapeli kwa mtindo upi? My dear according to United State Banking law after the expiration of 9 (nine ) years, if nobody apply for the claim the funds will confiscated as state treasury, that is why I am seeking for...
Back
Top Bottom