kweli Watanzania tunaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo wa uongozi, mtu mmoja kama Lema anaweza kuwa chanzo chz Vurugu kwa mji kama Arusha/ Makao makuu ya EAC ? hainiingi akilini
kuna propoganda zimesikika jijini Dar, eti Rais nchi imemshinda kiasi cha kufikia Jeshi kujiandaa kuchukua nchi ! Hebu tutafakari ni kweli nchi yetu inahitajika kuongozwa na Jeshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.