Search results

  1. mkara mshamba

    Muleba: Upepo mkali na mvua ya mawe

    Amini usiamini leo asubuhi katika kisiwa cha Kelebe wilayani Muleba kumetokea dhoruba kali ya dakika 30 Majira ya saa nne asubuhi. Nashangaa wataalamu wetu wa hali ya hewa kutotoa taarifa. Vipi mitambo yenu vipi?
  2. mkara mshamba

    Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kwenye nchi zinazo heshimu utawala wa sheria na wanainch wake wanajitambua, hawezi lakini katika nchi ambazo aziheshimu utawala wa sheria na tamko la rais ndiyo sheria kama tz anaweza
  3. mkara mshamba

    Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Kama kuna viongozi wanaotakiwa kukamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ni hawa, Ndungai, Biswalo Mganga pamoja na jaji mkuu. Kwani walitumia ofisi za umma na madaraka yao vibaya.
  4. mkara mshamba

    Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

    Kwanza tujue hizo pesa zilitoka wapi serikalini ama familiya. Pili jamaa alikuwa si mkweli na mambo yake alifanya kwa kutamka hata uongo ukaonekana ukweli. Tutaaminije ? Kama kweli alilipa hizo pesa. Mf alituaminisha shirika la ndege linapata faida hadi wanatoa gawio. Jiulize ilo gawio walilitoa...
  5. mkara mshamba

    Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Ngungai cm mjinga bali ni mpotoshaji, mnafiki na hasiyefaa hata kidogo kuliongoza bunge kwanza hana hekima
  6. mkara mshamba

    Paschal Mayalla leo anaponda utawala wa Hayati Magufuli

    Nilishawahi kuandika humu jf, kuwa Watanzania wengi ni wanafiki na wasaka tonge. Wachache sana wanao ishi kwa kile waaminicho na kwa taaluma zao wasaka vyeo wamewabambakizi jina si wazalendo. Lakini mungu yupo hiko siku haki itashinda dhuruma na ukweli utashinda unafiki.
  7. mkara mshamba

    Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

    Ee ni ajabu sana, hawa ndo walikuwa wanamsifia jiwe, leo tena wanamadai, ka ma vile kinyonga.
  8. mkara mshamba

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    OMBI LANGU KWAKO RAIS SAMIA, ITENDEE HAKI IKULU. KUMBUKA VITABU VITAKATIFU VINA SEMA, KUWA NYIE WATAWALA MNAMWAKILISHA MUNGU HAPA DUNIA. kwa hiyo HAKI ndo kiwe kitu cha kwanza. MAMBO YA WATU KUTEKWA , KUPOTEA NA KUPEWA KESI BANDIA ZA UHUJUMU UCHUMI N.K nakuomba sana usikubali yaendelee hebu soma...
  9. mkara mshamba

    Mene mene tekeli na peresi - Lema

    LEMA, MWENZIO ANAKWENDA KUWAONGOZA MALAIKA MBINGUNI, WEWE ENDELEA TU NA MIPASHO YAKO
  10. mkara mshamba

    Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

    Wanaongoza wenye nchi, tambua kuna WENYE NCHI NA WANAICHI. Kama unabisha kamuulize Ruto atakwambia huko Zenji na Kenya kukoje
  11. mkara mshamba

    Ikiwa Serikali na madaraka yake yote na mamlaka yake yote yanatoka kwa Wananchi, kuna kosa gani wananchi kumuuliza kiongozi wa serikali?

    Kipimo moja wapo kati ya kiongozi na mtawala ni hiki. Kiongozi anachaguliwa na watu na anasimamia kuongoza yale walio mchagua wameyaweka . Mtawala anaweza kurithi ama kutumia njia zisizo haki kupata madaraka, yeye hasimamii maamuzi ya liyowekwa na wenye nchi Bali kauli yake ndiyo sheria. Kwa...
  12. mkara mshamba

    Mambo mbalimbali yaliyokoma kwenye utawala wa Rais Magufuli

    LAKINI HAYA YALIZALIWA, 1 WASIOJULIKANA . 2 KUPIMWA MIKOJO. . 3 UCHAVUZI KATIKA CHAGUZI. 4 HOFU NA UOGA . WAKUU WA WILAYA NA MIKOA KUWA WAUNGU WATU
  13. mkara mshamba

    Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Nadhani siyo vzr kumuombea binadamu mwezio mabaya. Biblia inasema Hakuna mamlaka iliyo jiweka yenyewe, hata kama ni katili kiasi gani, mungu ameiridhia. Na anamakusudi nayo. Naomba kutoa mfano laisi, hivi yesu hakujua kuwa Yuda atamsaliti, pia pale msalabani wakati akiteswa, aliumizwa sana...
  14. mkara mshamba

    Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Jeshi letu la polisi liko makini, ila na najua tu hata yule aliyemzushia mrema wa chadema eti kafa a. kusini naye atakamatwa tu.
  15. mkara mshamba

    Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

    Ni ofisa usalama aliyepelekwa kikazi nadhani huko msumbiji. Hivi nani msemaji wa rais, w mkuu ama mabarozi au ma rc ?
  16. mkara mshamba

    Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Waziri ni msaidizi wa rais katika wizara aliyoteuliwa na rais. Kama rais amekataa na yeye ame kula kiapo cha uaminifu, afanyeje ?. Hanakosa wala sababu ya kujiuzuru kwa matokeo mabaya. Labda angejiuzuru mapema kwa kutokubaliana na msimama wa rais. Wenzetu nchi zilizoendelea kidemkransia wana...
  17. mkara mshamba

    Umoja wa Ulaya (EU) kuipatia Serikali ya Tanzania Tshs bilioni 307.9

    AU, SI MABEBERU UWENDA WANO LAO JAMBO
Back
Top Bottom