Baadaye ataita na mercenaries kuja kudhibiti upinzani, yetu macho. Nchi ya fully unnecessary breaking news. Hivi kweli chanzo cha haya madudu hakijulikani?
Ndugu wanajamvi JF, wizara ya elimu imetoa maagizo ufanywe mtihani kuwatahini waanafunzi wa kidato chaa kwanza 2013 ili watakaofeli wachujwe. Pia tumeambiwa kuwa mitihani na marking schemes italetwa mashuleni. Pia mitihani ifanywe Jumatatu 11 na kusahihishwa mashuleni. Cha kushangaza tunatumiwa...
Umeme Madunda na Lugarawa utaendelea kuwapo tu , halafu pia vijiji vya Ludewa 85% haviujui umeme hivyo impact yake itawahusu wachache. Hofu yangu yanayotokea southern corridor yanaweza kutokea Ludewa sio kwa kukosa umeme bali rasilimali zinazohama bila kuwasaidia wananchi. Mtikila uko wapi...
Ni kweli ulichshauri ni muhimu kwa kila chama kinachotarajia kushika dola kwani kutakuwa msuko2 mkubwa sana. Hivyo CDM should prepare potential men from grass root.
Ni kweli ulichshauri ni muhimu kwa kila chama kinachotarajia kushika kwani kutakuwa msuko2 mkubwa sana. Hivyo CDM should prepare potential men from grass root.
Let us spark out national referendum first within jamii forum then making a tour countrywide preaching national integrity and stability instead of relying to that president.
Doctor Slaa hana aibu, halafu tena mfumo kristo, sasa mbona sioni relation hapo? Kama si M4C tujuze ni kipi kilichowaamsha wana Mtwara? Ni huo mhadhara wa Ilunga? Kiuhalisia M4C imeamsha wengi sana vijijini labda Mtwara ndo sijui. Vijanja hawadanganyiki tena na Tshirt!
Ujamaa ni mzuri ikiwa falsafa ya kudumisha utu na usawa kwa wengi kama ilivyofanya Tanzania kupitia Azimio la Arusha. Lakini faida za ujamaa ni chache ukilinganisha na ubepari. Ktk ujamaa kuna udikteta uliopitiliza, uchumi usio na ushindani,udumivu wa akili za watu ktk kutuckle global challenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.