Search results

  1. Kalolo Junior

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Nakubaliana kabisa na wewe. Adhabu zinazotolewa na Walimu ktk shule hii haziendani na kosa. Jumamosi iliyopita kuna wanafunzi walikutwa bwenini; muda ambao walitakiwa kuwa darasani kujisomea (saa 10 alfajiri hadi saa 5 asubuhi). Adhabu waliyopewa ni kufukuzwa shule. Mbaya zaidi wamefukuzwa bila...
  2. Kalolo Junior

    Makamu wa Rais mama Samia awasili Afrika Kusini kumuwakilisha Rais Magufuli mkutano wa 37 wa SADC

    To my understabding; there are delegatable and non delegetable duties. Mkutano ni wa "Wakuu Wa Nchi". Hili nalo ni la kudelegate!? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kalolo Junior

    Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Well said Kiongozi! Issue ya kuzima mwenge na utaratibu wake vinajulikana. Ingekuwa busara kama zuio hili lingetoka kabla maandalizi hayajaanza. Leo hii kuna viongozi toka mikoa ya mbali walishaanza safari!
  4. Kalolo Junior

    Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe, TICTS...

    Well said mkuu. Kwa hii staili ya "Micro Management" nothing will move!
  5. Kalolo Junior

    Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

    Na kwanini wafanyabiashara wagome kuimport eti kuisubortage serikali!? To me kazi mojawapo ya serikari ni kuwajengea mazingira mazuri wafanyabiashara ili waendelee kuisaidia serikali kwa kulipa kodi na kutoa ajira. Na hii inawezekana si kwa kuwekeana bifu. Kama ni kweli wafanyabiashara...
  6. Kalolo Junior

    Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

    Tuache ushabiki wa kisiasa tunapojadili mambo muhimu yanayogusa maisha ya kila mmoja wetu. Wewe upo nchi gani usione yanayoendelea nchini mwako!?
  7. Kalolo Junior

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Kama nilivyotangulia kusema; "na wenye akili wayaelewe maneno yaliyoandikwa" kama si mmoja wao si unanyuti tu!!
  8. Kalolo Junior

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Well said Bro! Na wenye akili wayaelewe maneno haya!!
  9. Kalolo Junior

    Rais Magufuli afuta shamrashamra za Muungano 2016, fedha zikajenge barabara Mwanza

    Yaani ni sheedah! Nadhani hapa ndo tutaanzia kuwapima wawakilishi wetu. Kama muswada wa sheria ya matumizi waliupisha wao kwa kura, iweje rais autengue bila baraka yao hata kama naye ni sehemu ya bunge!??
  10. Kalolo Junior

    Rais Magufuli afuta shamrashamra za Muungano 2016, fedha zikajenge barabara Mwanza

    Kumshambulia member mwenzio kwa maneno makali bila hoja zenye mashiko ni dalili ya uelewa na fikra finyu. Ni vema kupinga hoja kwa hoja na si vijembe!
  11. Kalolo Junior

    Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

    Well said ndugu!
  12. Kalolo Junior

    Risasi zikipigwa juu angani uwa zinaenda wapi?

    Wataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer...
  13. Kalolo Junior

    Varangati: Mbunge Msigwa na DC Kasesela nusura ngumi zichapwe

    Ushabiki wa kijinga ndio unatumaliza nchi hii. Sidhani kama unachangia kwa kuiface issue kama ilivyo! Ni mhemko wa kishabiki ndo umefanya uchangie hivi!
  14. Kalolo Junior

    Varangati: Mbunge Msigwa na DC Kasesela nusura ngumi zichapwe

    Chezea wanasiasa! Matatizo yetu ndiyo mtaji wao!! Kama lengo hapo ni kusaidia waathirika, migongano ya nini!??
  15. Kalolo Junior

    Rais Magufuli alikabidhi Jeshi la Polisi jukumu la ulinzi Bandarini!

    Ni ukweli usiopingika kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari kuna shida. Tumeona alipoingia Mwakyembe kama waziri wa Uchukuzi alifukuza uongozi wote wa juu kwa madai kwamba walikuwa wanaiba mafuta kwa kivuri cha mafuta machafu. Kwa mbwembwe akateua bodi mpya ambayo haikukaa muda na ikabadilishwa...
  16. Kalolo Junior

    Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    katiba hiyo hiyo inatoa haki ya raia kupata taarifa hasa zinazoathiri maisha yao ya kila siku. kwa kuwa Bunge ndicho chombo kinachofanya mambo kwa niaba ya raia ni muhimu raia nao wakapata nafasi ya kuona moja kwa moja ni namna gani wawakilishi wao wanawawakilisha!
  17. Kalolo Junior

    Serikali kuzifunga akaunti zake kwenye benki za biashara na kuzipeleka Benki Kuu

    Mhhh.... kazi kwelikweli! Najaribu kujiuliza kwa taasisi kama TPA na TRA ambazo zinatumia commercial banks kama ndo collection agents wao hali itakuwaje!?
Back
Top Bottom