Search results

  1. M

    Katiba Mpya Yaiva: Kikwete na Shein kukabidhiwa ripoti Disemba 30, 2013

    TUME YA MABADILIKO YA KATIBA Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. RaisTume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Dkt. Ali...
  2. M

    Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Rasimu hado haijawa hicho kinachoitwa Muswada. Na ile ilyotolewa haiendi Bungeni, itakayoenda ni ile inayoboreshwa sasa kwa kutumia maoni ya Mabaraza.
  3. M

    FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

    SEHEMU YA HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA MATHIAS M. CHIKAWE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014 ....Uratibu wa Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba 4. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2012/2013 Wizara yangu...
  4. M

    Nyumbani kwa JAJI Rwakibalira

    Wakubwa, Jaji Rwakibarila hajapooza. Nimeongea na mtu anayeshughulikia matibabu yake muda si mrefu. Ni kweli anaumwa, lakini kwamba amepooza SIO KWELI KABISA! Very unprofessional.
  5. M

    Jaji Warioba kukutana na wahariri kesho Jumanne Karimjee saa 3:00 asubuhi - 7:00 mchana

    Wakuu, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba kesho, Jumanne, Juni 19, 2012 atakutana na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi - 7:00 mchana kwa lengo la kuzungumza naokuhusu kazi ya...
  6. M

    Jenerali Ulimwengu kanena: Huwezi kujadili katiba mpya bila kuujadili muungana

    Nimekutana na hii - Kesho, Jumatano, Mei 2, 2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na hafla fupi ya kuikabidhi na kuitambulisha ofisi ya Tume ya Katiba inayoongozwa Joseph Warioba tayari kwa kuanza kazi. Hafla hii itafanyika katika Ofisi za Tume zilizopo katika Jengo jipya la Wizara ya Mambo ya...
  7. M

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Uzushi mwingine bwana, ndiyo yaleyale...'uongo umesemwa tangu jana, now unaonekana ni ukweli'. Mi nimekuwa nafungua tangu jana na sijaziona hizo picha.... Kwanza uzushi wenyewe umeanzia kwenye jina la Wizara (ni Katiba na Sheria, sio Sheria na Katiba); pili jina la Waziri eti Dr. Celina Kombani...
  8. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Kwa hali ilivyo, inawezekana kabisa kuwa uchaguzi ukirudiwa hata leo...CHADEMA itashinda Arusha Mjini. lakini, kwamba reasoning inaonyesha Jaji kahongwa, hii siikubali...tena Rwakibarila? Hapana...
  9. M

    KIKWETE: Leteni Majina ya Wajumbe wa KATIBA niwateuwe!

    Ngoma nzima hiyo: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jumatano, Februari 29, 2012 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amevialika vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu, jumuiya za kidini, asasi za kiraia na makundi mengine ya watu wenye malengo...
Back
Top Bottom