Search results

  1. Lamisa Danish

    Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

    Hîi Nchi Sasa ilipofikia bila kujichukulia Sheria mkononi mambo hayataenda mana Serikali ni kama imekula yule samaki aitwae pono
  2. Lamisa Danish

    Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Sisi Watanzania hatuhitaji Ufafanuzi Bali tunahitaji Utatuzi WA Changamoto mbali mbali zinazotukabili ikiwemo ya Umeme,Maji, Sukari,nk Ufafanuzi maana yake sababu or Chocho la kutokea hatuhitaji hayo tunahitaji Utendaji.Ufafanuzi umekuwa ukitolewa Kila Léo bila ufumbuzi wowote ule.
  3. Lamisa Danish

    Wanaume jiandaeni kupokea maisha baada ya kustaafu

    Ila Kuna Wazee wengine wanazingua sana,Kuna Mmoja ana watoto sita KAZI yake ni Mlinzi WA kwenye magodauni..kula yake ya shida yéyé na familia yake wakati mwingine anashindia na kulalia karanga za mia mbili sababu ya mshahara Mdogo. Cha kushukuru amepata mwanga WA kusomesha japo kwa mbinde,Mbaya...
  4. Lamisa Danish

    DOKEZO Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza

    Mama Ubarikiwe sana,Mawaziri wote na viongozi wengine WA Serikali ingekuwa wanaRespond haraka namna hii kutatua matatizo ya wanaNchi hivi Mh Rais asingehitaji kufanya kampeni tena kwenye uchaguzi. Uendelee na Moyo huu huu na Mungu akujaalie Ktk KAZI zako ziwe na mafanikio.
  5. Lamisa Danish

    Retrenchment

    Mkuu hapo kwenye Retrenchment kama Boss Sababu zake za kukupunguza ni kuwa Uchumi umeyumba Ila kiuhalisia haiko hivyo Ila ni chuki zake tu binafsi (Personal Grudges) Sheria inasemaje kuhusu hili? Maana anakupunguza then anaajiri mwingine,anapunguza mwingine then anaajiri tena mwingine and so and...
  6. Lamisa Danish

    Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

    Amefanya KAZI zaidi ya miaka 15 Mkuu,Hiyo ya (Gross ×12) inaweza kuwa na nafuu kuliko Hiyo ya kugawanya kwa 26,Je Hiyo ya Gross ×12 ya mwaka gani?na Kuna tofauti gani kati ya Retrenchment na Redundancy,or kitu kimoja?
  7. Lamisa Danish

    Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

    Asante kwa Ushauri wake Mkuu
  8. Lamisa Danish

    Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

    Hahahaha yéyé kama yéyé hajawahi Kuja Labda kama alitumia ID nyingine..Hiyo Heshma uliyonayo kwake na kwangu pia ni hivyo hivyo Siamini alichokiandika kunijibu hapo juu..ama kwakweli usimwamini MTU asilimia mia.
  9. Lamisa Danish

    Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

    Kwa hiyo hapa ndio umefikia mwisho Kabisa wa Hekima na busara zako?Siamini kabisa bado Nina Imani na WW,naamini hauko hivyo.
  10. Lamisa Danish

    Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

    Wakuu habarini?Naomba niende kwenye Hoja Moja kwa Moja! Nina ndugu yangu amefanya KAZI kwa Mjerumani Mmoja akiwa kama Fundi Pump (Diesel Engines)kwa zaidi ya miaka 15 hivi,Akiwa na mkataba WA kudumu kwenye Ajira yake Sasa Mtoto wa Boss hamtaki kazini akitaka kumuondoa kwa kigezo Cha kupunguza...
  11. Lamisa Danish

    Babu yangu ametimiza Miaka 100, ameshajiandalia vifaa vyake vya mazishi

    Kifo sio Mwisho wa Maisha,Bali ni Mwanzo wa Maisha Mapya!! Kinachofanya tuogope Kifo ni aina ya Maisha tunayoishi sasa ambayo nafsi zetu zinatusuta kwa yale tuliyoyatenda. Tukiwa na Uhakika wa Usalama huko tuendako hatuna sababu ya kukihofia kifo.Maana kinakuwa ni Mlango wa njia ya kheri...
  12. Lamisa Danish

    Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Mkuu anzisha Group LA Whatssaap LA wasoma vitabu tujiunge,then weka Link hapa atakae kujiunga ajiunge. Humo kutakuwa na Library ya Vitabu mbalimbali na vitawekwa kulingana na maudhui yake,yeyote atakae kwa muda wake anajipakulia anaendelea kujisomea. Uzuri wa Group huna sababu ya kubeba kitabu...
  13. Lamisa Danish

    Wachezaji Yanga, Kesho ni Yenu

    Kesho Jumapili tarehe 28 May kwenye dimba la Mkapa inachezwa fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baina ya Young Africans hapa nyumbani dhidi ya USM Alger ya Algeria. Mm kama Mtanzania ninaevutiwa na maendeleo ya soka la Nchi yangu na pia kama Shabiki lialia wa Wananchi,nina jukumu...
  14. Lamisa Danish

    Tutumie Nafasi hii ya Yanga kuingia fainali kama fursa

    Hili nalo ni tatizo sugu la kijinga lisilo kwisha
  15. Lamisa Danish

    Tutumie Nafasi hii ya Yanga kuingia fainali kama fursa

    Safi sana akili nyingi hii,sema Sidhani kama Yanga wamejipanga kwa hilo or kuwaza namna hii. Pili Usimba na Uyanga uliopo TFF unasababisha kusiwepo creativity kama hizi,mana WanaSimba wao kwa sasa wako busy kubeza mafanikio ya Yanga kwa kuliita kombe la looser ili hali wao walichoma hadi uwanja...
  16. Lamisa Danish

    Togolani Mavura: Kila Mtu anaye Bernard Kamillius Membe Wake

    Togolani Mavula,January Makamba,Nape Nnaye,Zitto Kabwe,John Mnyika etc ni vijana hazina kwa taifa letu. Wazee wawape urithi ulio bora waje kuwa na tija kwa taifa.Wasiwatumie kama tissue ili kutimiza malengo yao. Dunia tunapita tu,kumpa mtu kitu kilicho bora ni sadaka yako hata pale usipokwepo...
  17. Lamisa Danish

    Airtel Tanzania, kwanini mnabariki wizi huu?

    Hapa ndipo tatizo la sisi Watanzania lilipo,kudharau pesa ndogondogo!!wenzetu Wakenya mkate ukipanda bei sh mia kiholela they take an action sisi huku mtu mpaka atiwe vidole matter cone ndio a respond ila kwa mambo ya msingi na haki zake anaona halimuhusu.
  18. Lamisa Danish

    Airtel Tanzania, kwanini mnabariki wizi huu?

    No hiyo aftano bado kubwa Mkuu ni aftatu ila ni pesa yangu halali kabisa na nina haki ya kufatilia kujua hatma yake vile vile kutoa somo kwa wengine ili yakiwakuta wajue watakabiliana na nn
  19. Lamisa Danish

    Airtel Tanzania, kwanini mnabariki wizi huu?

    Hapana Mkuu ni namba ya Wakala,na wakati natoa wakala ndie aliekuwa ananitajia namba za kutolea..nikamuuliza na jina kama ni sahihi akasema ndio huku akiendelea na mambo mengine,baada ya kutoa ndio tunabaini jina la kutolea silo lililo katika ofisi yake na kuona kuna tofauti ya namba ndipo...
Back
Top Bottom