Search results

  1. J

    Uzi maalumu wa kutakiana kheri ya christmas na mwaka mpya 2024

    Binafsi namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa hai mpaka sasa. Ikiwa zimezalia masiku 7 kufikia sukukuu ya Noel na Masiku 14 kukuja mwaka mwingine napenda kukutakia mandugu zangu na marafiki zagu salaam na heri ya mwaka special. 1. Moja, wazaa mimi Mr. & Mrs. Professor Rutashoborwa (B.A. M.A...
  2. J

    Kwa tukio hili, nikiweka pesa benki za Kitanzania, mniite mbwa nipo Qatar

    Kwema wadau? Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo Qatar mwezi wa tatu sasa. Kama ilivyo desturi yangu, huwa sipendi kusumbua watu au kusumbuliwa. Ndio...
  3. J

    Salamu za rambirambi

    Kwa niaba ya familia ya Prof. Rutashoborwa LLB (Oxford, UK), LLM (Yale University, USA), PhD (Cambridge UK,) wa Manhattan, New York, NY, USA. Tunatoa pole kwa uongozi mzima wa kasri la kifalme Uingereza kwa kuondokewa na mtawala (Bibi yangu) Malkia Elizabeth. Hakika ni uzuni kubwa kwa mataifa...
  4. J

    Nahitaji Jenereta zuri chini ya million1

    Nahitaji kununua generator nzuri chini ya Million 15 Kwa ajili ya kugenerate umeme kijijini kwa bibi mkubwa
  5. J

    Naombeni mnisamehe bure, mtanzania mwenzenu

    Hayati Professor Winstanson J. P. Rutashoborwa, Babu kizaa babu, ni mtanzania, mwaka 1918 baada ya Wajerumani kushindwa vita, na kuiachia Tanganyika, aliondoka nao..akawa ameanzisha ukoo mwingine huko. Mi na asili ya Tanzania.
  6. J

    Naombeni mnisamehe bure, mtanzania mwenzenu

    Kukosea ni vibaya ila kutokuomba msamaha ni vibaya zaidi. Napiga magoti mbele zenu watanzania wenzangu naombeni mnisamehe. Sikufanya hivyo kwa makusudi sema nilisahau kuwa nchi ambayo babu yangu alizaliwa bado ni ulimwengu wa tatu. Katika maisha yangu tangu nimezaliwa hapa Manhattan, NYC...
  7. J

    Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

    Mkuu mimi sio mwenyeji wa Bukoba...napasikia tu...nilikuwa nasimuliwa na bibi...kuwa wazazi wao wanatokea huko...ni asili asili yetu.
  8. J

    Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

    Una taaluma gani? Nitumie info. zako ukiambatanisha VISA ya USA kwenye DM.
  9. J

    Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

    Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz. Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu...
  10. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Kwa ajili zako fupi mtu kumiliki benzi 1982 ni sifa kubwa eeh ?
  11. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Sawa Kiongozi mimi mganga wa njaa. Asante kwa kuni-insult.
  12. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Nilipokuwa nasoma grade 12 Manhattan...Prof. Darwing aliwahi kusema ili ujue lugha vizuri longa.
  13. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Nitalipa mkuu..sema process ya kutuma hela kiasi hicho ni ndefu sana.
  14. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Samahani Kiswahili sio lugha yangu ya kwanza. Kuna mtaalam humu alinifundisha mwaka Jana .
  15. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Baba mtanzania mama Mfaransa mi napenda kuwa mtanzania. Mimi mtanzania.
  16. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Hela zipo kiongozi...sema namna ya kumlipa kuna process hajikaa sawa mkuu huku Corona ni janga.
  17. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Kupanga ndio kufanya nini mkuu?
  18. J

    Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

    Sijakataa kulipa kaka...sema Corona inaniharibia ratiba zangu.
Back
Top Bottom