Search results

  1. senior citizen

    Grk advocates...

    Jamani samahani hivi sheria za mawakili zinaruhusu hii professional kujitangaza kwa staili hii? Naombeni ufafanuzi....
  2. senior citizen

    Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

    ukweli ni mmoja tuu hakunaga ukweli mbili.
  3. senior citizen

    Wabunge hawa wako hoi majimboni mwao, hawatashinda 2015 ... ongezea orodha

    ]Mathyo David Mathayo- SAME MAGHARIBI jimbo linajiendesha lenyewe toka 2011.:confused2:
  4. senior citizen

    Law school

    :majani7:sisi wakina kapuku wadogo zetu wanapigwa tarehe kama za clinic. Dr Ndika na Lubengo acheni urasimu au LAW SCHOOL nayo imeshageuka kijiwe cha siasa?
  5. senior citizen

    Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

    Ni pepee kaka yake Fumo Felician@ Mwanza.com
  6. senior citizen

    Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

    Huyu mwanamke lazima atakuwa mlango wa nane mjini huita gundu/nuksi au mkosi sababu kila anayekuwa nae anakufa au anapata matatizo kama marehemu Barlow au jamaa aliyekamatwa Dar.
  7. senior citizen

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Yule mdada aliyezaa nae musoma yupo njiani anapeleka mtoto kwenye msiba akakutane na mama mweupe wa kichaga.. Imbombo ilipo.
  8. senior citizen

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    «No one can be a judge on his own cause« 〓 NEMO JUDEX IN CAUSA SUA.
  9. senior citizen

    Land Cruser Prado 2003 model, BMW X5 & X6 2008 model

    Mkuu mponjoli amefanya nn tena naomba kujuzwa coz ckuwa na access ya mtandao kwa muda kidogo... Pole kwa usumbufu.
  10. senior citizen

    William J. Malecela na upuuzi wake!!

    Le mutuz nenda kampigie debe mama ako UWT ukimaliza ukamuuguze dada yako Mwendwa acha kupoteza muda!
  11. senior citizen

    Uteuzi wa majaji wapya!

    Habari wana JF? Naomba mwenye taarifa juu ya uteuzi mpya wa majaji wapya anijuze kwani sehemu nilipo sina access ya taarifa kamili. Nategemea ushirikiano wenu!
  12. senior citizen

    Mkutano wa CHADEMA Same wazuiliwa na polisi

    Matayo na Kilango kesho lazima wavue gamba wavae gwAnda hakuna kulala mpaka kieleweke!!! Halafu nackia uyo mwenye bar ya padeco ni gamba sugu MkUU naomba apelekewe GWANDA ili ajue saa ya UKOMBOZI ni SASA!
  13. senior citizen

    Mkutano wa CHADEMA Same wazuiliwa na polisi

    Poleni makamanda kesho sio mbali piteni PADECO,KIMWERI na KINDOROKO tangazeni sera ya ukombozi na uhuru wa KWELI.
  14. senior citizen

    Nathan Mpangala!!

    Ni ukweli usiopingika!
  15. senior citizen

    Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

    Mimi naona wale wadudu wake wameshaanza kupanda kichwani... Mtu makini hawezi kuropoka kama mtoto anayejifunza kuzumgumza!!! KAMA NIPIGE TAFU ZAKE ZIMEMUISHIA MWAMBIE aende TUMAINI AU St. BENARD WANAGAWA BURE!
  16. senior citizen

    Mahakama yatupilia mbali ombi la Lulu

    Mimi nadhan tuiache mahakama ifanye kazi yake kabla hajapata hayo matatizo hatukuona hata mwanaharakati mmoja aliyejitokeza kumuonya huyo binti sanasana mlikuwa mnamshangilia na hata alivyohojiwa na katika kipindi cha eatv channel 5 na mtangazaji Salama Jabiri sote tulikubali na kuelewa kuwa...
  17. senior citizen

    MakongoroMahanga alikuwa anasubiri kesi iishe au uteuzi ndio aendelee na ujenzi wa nyumba yake

    Sasa Slaa ameingiaje humu??? Acha kuchanganya mada kama una taarifa yako anzisha thread yako kama hyna cha kuchangia ni vyema ukae kimya na usome za wenzako!
  18. senior citizen

    Mwema naye apangua mabosi Polisi

    Jamani mwenye orodha tunaomba atujuze kwani sehemu nilipo sina access ya kupata gazeti.
  19. senior citizen

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Sugar itamuua kima wa mwema.
  20. senior citizen

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    They always think negatively.
Back
Top Bottom