Search results

  1. M

    Msiba mzito chuo cha sayansi ya tiba udom

    Mazishi yamefanyika leo jumanne mchana huko Dodoma vijijini nyumbani kwao mama yake.
  2. M

    Mume wangu mvivu!

    Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari
  3. M

    Mume wangu mvivu!

    Ofcourse nimeishi na hili tatizo kwa muda wote huu,nimejaribu kuvumilia tu na kuamini kuwa one day shida itapungua au itakwisha kabisa,nimeongea na jamii na kujaribu kumsaidia kwa njia nmbalimbali pia.
  4. M

    Mume wangu mvivu!

    ahsante ushauri umezingatiwa
  5. M

    Mume wangu mvivu!

    Ahsante kwa ushauri mzuri
  6. M

    Mume wangu mvivu!

    Yah.enzi za uchumba nilikuwa mwembamba lakini hii hali ilianza kabla hata sijaanza kugain ingawa hata yeye amegain sana,tulijaribu kuliona hili kama tatizo tukajaribu hata kufanya mazoezi ya viungo na diet pamoja lakini haijabadilisha situation.
  7. M

    Mume wangu mvivu!

    Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.
  8. M

    Mume wangu mvivu!

    Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu. Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa...
  9. M

    Msiba mzito chuo cha sayansi ya tiba udom

    Habari zenu wana janvi,kuna taarifa za kuhuzunisha kutoka Chuo cha Sayansi ya Tiba UDOM! Mwanafunzi wa kike aliyejulikana kwa jina la Sylvia aliyekuwa mwaka wa pili akisomea shahada ya Udaktari wa binadamu amefariki jana usiku katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.Chanzo cha kifo chake ni...
  10. M

    Sisi ndio wanaume bwana!

    Sihusiki...............napita tu! Ila napata harufu ya mfumo dume! .
  11. M

    Ni wimbo gani unaokuboa?

    Kiatu kivue wa rose muhando na anastazia mukabwa,umeimbwa kimbeakimbea kama mipasho!
  12. M

    Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

    mbona ulipotoka na huyo boifrend wa kwanza hukutushirikisha mavazi ya kuvaa? au ndio unatutangazia kuwa umepata mwanaume mwingine? ushauri wangu nenda ukiwa uchi ili akufaidi vizuri!
  13. M

    Tukibadilishana jezi baada ya mechi tubadilishane na "chupi""baada ya shuguli!!

    kazi kwelikweli,mie sina neno,ila kama ndio mume wangu ntamtoa mbio na hiyo bikini usipime!
  14. M

    Hizi bra za kisasa za wasichana

    Mmmmmmmmmmmmmmh!ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.Bado kidogo tutaanza kuapply Mioyo na Maini ya Kichina.Ukimchukua tu Moyo una fail na anakufia ndani ya tukio.
  15. M

    Kupoteza nguvu za kiume kwa mke wa ndoa!!

    Huyo kaka ana matatizo ya kisaikolojia,mind yake imejitune hivyo kwamba anakosa nguvu kwa mkewe.suluhisho ni kuachana na hao vimada kisha mawazo yote ayahamishie kwa mkewe.anatakiwa amfikirie mkewe kama ni mtu pekee anayeweza kumpa raha za dunia hii.nadhani hapo mambo yatakuwa mazuri kabisa...
  16. M

    Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

    ama kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! kama unaona gharama sana acha kutafuta madem wa town kama vipi nenda kijijini kwenu kachukue wanaosuka nywele za mkono na wanja wa kuchoma mapira.
  17. M

    Jamani nisaidieni mwenzenu wana jf

    Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia...
  18. M

    Choo cha passport size

    Hapo shughuli pevu,maana wakati mwingine mambo ya kikubwa yanaweza kufanyika hukohuko bafuni,sasa hapo wapiga chabo si watajinoma porn movie ya bure?
  19. M

    'Nimeshikwa, nashindwa kujinasua, hebu nisaidieni'

    Tabia haina dawa,huyo kaka ni mzinzi by nature! Binafsi fikiria kama mkeo nae angekufanyia unayomtendea! Dont' be selfish elewa kuwa unamuumiza mkeo wa maisha.
Back
Top Bottom