Search results

  1. S

    Maisha ya Uswahili tabu haswa!

    Watoto wa kishua utawajua Tu. Hakuna aliyependa kwenye Maisha kuwa maskini ni Hali Tu ambazo Tayari zimeshatoka . Ila mbwa wewe Una Dharau manina
  2. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Usijifanye mjuzi wa Mambo. Kama maisha yangekuwa hivi unavyotaka hata watu wasingezaliwa.
  3. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Na ni hicho Tu ndo kinachoniumiza kichwa Aisee. Ila Acha Tuone Mambo Yatakuwaje.
  4. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Off course nilinyanduana nae kwenye Danger Day Japo nilimpa P2 Ila Kwa kuchelewa. Na kuhusu kujiandaa au kutojijiandaa nahisi wewe mwenyewe mkuu unaelewa Hali halisi ya Mambo inavyokuwa Ila nimekubaliana na Hali nitaielea Tu. Kuna Nguvu kubwa Sana Katika ulimwengu wa Rohini
  5. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Lazima Tujue Jambo moja mkuu Maisha Yanapita na Kila kitu kitapita. Na wala Haitatokea katika Dunia hii tukasema sasa Tumejiandaa vya kutosha.
  6. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Mimi mwenyewe ndo kitu kilichonitokea Tangu Jana Hata akili Yangu Haijawa Sawa Ila imenibidi Maisha Yaendelee Tu hakuna cha Kuzuia katika Hilo.
  7. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Am Already for taking responsibility on that. Siamini Sana Katika Kujiandaa katika Maisha Mambo mengine uja Hata kiuhalisia WA akili zako unaweza sema Haujajiandaa.
  8. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Asante Kwa kunipa Moyo Kaka asante kutambulika Je Kwa Binti maana sijulikani hata
  9. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    NAMI siamini Sana Katika kauli ya kusema mtoto anakuja na baraka zake Ila Acha tuone Mambo yatakuaje aisee . Vipi utaratibu wa kutambulika kwao.
  10. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Siwezi kusema Nina hela za kutosha Ila Tulikuwa awali katika uwekezaji hivyo hatukujiandaa katika hili pia.
  11. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Of course nimejiandaa katika Hilo siwezi sema imekuja katika muda ambao sijajiandaa Ila Acha tuone Mambo yatakuaje
  12. S

    Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

    Wakuu. Habari naomba Tupeane Mikasa ulifanyaje ulipompa Demu/binti mimba katika muda ambao haukujiaandaa. Naona kitu kizito kimetua kichwani maana kuna Bo Binti nimesababisha Tayari
  13. S

    Harris Kapiga Ana Makelele Kwenye Kipindi cha Temino

    Yaani watu nje ya maadili ya kazi kabisa
  14. S

    Harris Kapiga Ana Makelele Kwenye Kipindi cha Temino

    Wakuu.. Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino. Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea. Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
Back
Top Bottom