Search results

  1. D

    Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

    Kosa alilolifanya Ni kumwambia( kuropoka) kwa Nini anaachana naye, angetafuta tu njia ya kuachana naye tu kiaina kwa ustaarabu bila binti kujua, Hata wazee wa zamani walikuwa wanafuatilia familia ya mtu mnaetaka Kuoana nae, Kama familia Ina changamoto walibadili maamuzi na ilisaidia Sana...
  2. D

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Jifunzeni wewe na mkeo kuongelea issue za mapenzi sio mnasubili MDA wa kulala mnaanza kuombana Bro, navyoona mkeo anachoka kweli kutokana na maelezo yako ya dakika 10 .kumi akiingia kitandani analala, .Ongeeni kirafiki bila kutumia nguvu kuhusu tendo la ndoa na kila mmoja wenu aeleze...
  3. D

    Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

    Mtu mwenye akili akisoma hili libandiko lako..anagundua tu wewe Ni mchwawi.
  4. D

    Tenzi za rohoni

    Duh kazi ipo,kweli kila mtu anaufahamu wake..Tuombe robo mtakatifu atuongoze kabla ya kunena
  5. D

    Sijamuelewa mke wangu

    Wewe baba mwenyendoa nadhani unamjua mkeo vizuri, miaka 17 upiyoishi Naye unamjua ipasavyo, mkeo kutaka kutoka Mara mojamoja na wenzake sidhani Kama Ni Jambo baya mtu anayejiheshimu hawezi funga Safari ya kwenda kufanya umalaya..na ukisoma ushauri wa atu wengi humu unaona karibia wote wanawaza...
  6. D

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Hadanganyi hivyo vitabu vya wimpy kids nimevisoma versions zote, havina issue ya ushoga,,ila vilivyokaa vinazungumzia issue ya ukuaji na barehe openly.kwa hiyo kwa kusoma vinahitajika visomwe na mtoto ambaye amekwishajitambua na barehe tayari.labda vijana kuanzia form 2 kuendeleza.lakini Kama...
  7. D

    Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

    Mkeo angekuwa hafanyi kazi ungefanyaje?.. kwenye kunyimwa unyumba lazima Kuna chanzo,,inawezekana unamlazimisha ahudumie familia ..kuitwa mwanaume SI Lele mama bro.wanaume hatuvunji ndoa kizembe hivyo..
  8. D

    Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Huyu mtu sidhani Kama Kuna sehemu kasema yeye Ni Mkristu, matendo yake yote na ibada zake hazina hata chembe ya ukristu..inakuwaje watu wanamwita mkistu, pia wengi hapa wanasema anadanganya watu Mara ooh wako brain washed mnajuaje washirika Yani waumini wake na yeye SI wa design moja...
  9. D

    Ndugu zangu nashindwa kuwaelewa

    Huo umri Sasa... Miaka 3 unakumbuka manyanyaso uliyofanyiwa katika umri huo? Kweli umeumbwa tofauti ndugu.
  10. D

    Hatumtaki Mtendaji wa Kata ya Kwakilosa mkoa wa Iringa, tunaomba Serikali ya mkoa iingilie kati suala hili

    Dalili za uchawi hizi, acha uchawi ndugu yangu, malipo huwa Ni hapa hapa duniani, utakumbuka hii kauli siku moja.
  11. D

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Mwenye kuamini na aamini kwamba Yesu yupo na tunapata habari zake na uponyaji kupitia watu wake" kwa ushuhuda wangu nilipona ugonjwa niliougua kwa miaka mitano bila kupata Tiba sahihi hospitali, nilisikiliza mahubiri ya huyu baba, nikasali kupitia TV live siku nzima, nikapokea uponyaji wangu...
  12. D

    Uchaguzi wa serikali za mitaa na watu waoga

    Acha uchochezi wewe
  13. D

    Msaada Wa smart phone nzuri kuanzia 500000 kushuka chini

    kama kichwa cha habari, naomba mawazo yenu wakuu
  14. D

    Msaada wa majina wa nyimbo mziki wa asili zenye mdundo mzuri wa kuchezeka

    mahadhi yoyote ili mradi ichezeke
  15. D

    Msaada wa majina wa nyimbo mziki wa asili zenye mdundo mzuri wa kuchezeka

    kama unayo pia naomba mkuu, maana nilitaka Nina niweze kudownload, Asante
Back
Top Bottom